Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Wabunge wanakula kiapo cha kutoikosoa serikali na viongozi wake? Au cha kutomkosoa Rais?Kiapo kinaendelea ndio maana mawaziri ni wale wale bwashee!
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabunge wanakula kiapo cha kutoikosoa serikali na viongozi wake? Au cha kutomkosoa Rais?Kiapo kinaendelea ndio maana mawaziri ni wale wale bwashee!
Mbunge Njaa People!Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa
Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.
Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.
Ramadhan Kareem!
Bunge badala ya kujadili mambo ya msingi ya kitaifa wanajadili upuuziKimeumana
Kuna siku niliwahi leta uzi humu kuwa siku magufuli hayupo kuna wabunge watakuja kuchapana mgumi wenyewe kwa wenyewe kati ya wabunge wa yimu magu na wabunge wa timu jk bado kidogo litimie
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo kubwa la bunge letu ni kutokujua wajibu wao. Wengi wanadhani wako pale bungeni kuitetea serikali. Kazi ambayo ni ya mawaziri. Wao badala ya kuisimamia serikali na kuiwajibisha wamekuwa waimba mapambio ya kusifu serikali.Bunge linaweza kumuondoa waziri mkuu na rais . Swala la utii labda kwa mungu sio kwa binadamu.
Na mama Rais asiwaingilie, awaache tu, mpaka wanakuja kushtuka 2035, anamalizia muda wake!Naona hii awamu ya Samia itaisha bahati mbaya kama ilivyokuja kibahati mbaya, huko bungeni mpaka wamalize kubishana hii mipasho yao waanze kujadili mambo ya msingi itakuwa ni September 2025.
Kutii wanajua kweli maana yake au. Wajiulize kwanza utii ni nini, kwa nani, sababu gani na mipaka yake ni ipi.Una mtii mtu aliyekufa??!!!!
Wanatakiwa wamtii Samia.
Nimekuelewa bwashee!Kuna watu huitwa waasi. Jina hili hupewa na watu waliokataa kuwatii. Mtu akiitwa mwasi si lazima awe mtu mbaya. Hivohivo kutotii si lazima uwe mbaya mana inategemea unakataa kutii nini au nani kwa sababu gani!
Hahahaaaa........ Kinanasi!Upumbavu ni kipaji.
Wakati mwingine unamuelewa Mwakyembe aliposema mtu wa darasa la 7 hawezi kumwambia kitu
Legacy haitetewi
Msukuma ni illiterate inafaa apuuzwe.Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa
Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.
Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.
Ramadhan Kareem!
Sasa CHADEMA inaingiaje hapa, we msukuma?CHadema walikuwa jumba bovu ndani ya Bunge na sasa hawapo hizi sarakasi zitaendelea kilasiku
Kinanasi kilimchoma..... alile kafwene!Hahahaaaa........ Kinanasi!
Nape huyu aliyesema goli la mkono leo anawashabiki nasema CDM wote 2025 mpeni mama kura zote nyie hamna wagombea makiniMsukuma aambiwe Nape na Makamba si saizi yake.
Musukuma,jiandae 2025 kwenda kuchunga ng'ombe kule Nzera ,GeitaMbunge wa Geita vijijini mh Msukuma amesema kuna wabunge wanadai kumkosoa hayati Magufuli siyo nongwa lakini sisi tunasema ni nongwa kwa sababu wabunge tumekula kiapo cha utii.
Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa
Jah people amesisitiza waliokosa teuzi wawe wavumilivu kwani wabunge ni wengi vyeo ni vichache.
Hayo ni majibu murua kwa wabunge waliopitishwa bila kupingwa January Makamba na Nape Nnauye.
Ramadhan Kareem!
Hivi wewe ngosha asikoselewe kwani yeye ni Mungu?Msukuma alikuwa anampa taarifa mbunge wa makambako mh Jah people aliyesema wabunge wameingia bungeni kwa nguvu ya hayati Magufuli na wasaidizi wake mama Samia na mh Majaliwa