Msumari wa moto: Mabinti wengi hamjitambui na vazi la u great thinker haliwatoshi au haliwafai

Dear ankal nimeandik hivi..

Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali kama wanafunzi wanaohitajika kujifunza kitu kizuri
 
Nina

Wambea siku zote huwa tunafokewa sana 😁😁 watu dhambi wafanye wao kufokewa tufokewe sisi, kosa letu nini hapo?
Mtaniwia radhi kwa ukubwa wake kutokana na hii mada.. Natambua wengi wenu mtakereka na maudhui yake na baadhi mtaudhika Sana..! Lakini kupitia mada hii naomba msijichukulie Kama walengwa bali kama wanafunzi wanaohitajika kujifunza kitu kizuri
 
Unashinda kuwinda vyenye kung'aa vya masinzi huvitaki no;

Unang'ang'ana km ruba kwenye mwili wangu

Na ushindwe, shindwe uniache mwana wa mwenzio kwetu ndo

Jembe jembe ukivunja mpini ni kilio...

Na ushindwe shindwe uniache mwana wa mwenzio kwetu ndo jembe jembe ukivunja mpini ni kilio.....
 
 
We naye leo unamuandikia nani mistari migumu hivi? Ulipata limshangazi😂
 
Kwenye mitandao ya jamii wengi hawaweki uhalisia wa maisha yao, unaweza kumwamini mtu boss kumbe anaishi kwa shemeji viceversa pia hujui undani wake unamwamini kumbe umempa story ya kusambaza kwa wenzake.
Stress za maisha na ujobless ni tatizo kubwa hayo ya u great thinker wengi wanaenda na upepo tu hakuna lolote!
 
Mkuu @

Mkuu Mshana Jr, kuna mstari mmoja umebeba uzito mkubwa sana: "Kuwa GT sio title ni matendo."

Mitandao imewapa watu sauti, lakini sio kila sauti imepewa hekima. Wengi tunajifunza kucheza na keyboard kabla ya kujifunza kudhibiti hisia zetu, ndipo screenshot zinakuwa silaha, siri zinageuka mtaji, na tofauti za maoni zinazaliwa kuwa uadui.🤔

Mtu mwenye busara halindi tu heshima yake, bali hulinda na faragha ya wengine. Si kila unalojua linahitaji kusemwa, na si kila unalotumwa linahitaji kusambazwa.

Tukitumia JF kujenga fikra kuliko kujenga makundi ya bifu, ndipo slogan ya Great Thinkers itakuwa inaishi kwenye vitendo, si kwenye ID pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…