Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea.


78875B38-190E-4DCF-9CCC-6A369A57C2EF.jpeg
464B5A0C-21E4-425B-AB02-B188E242D50D.jpeg
07C752DE-C430-4F42-BA32-911104A3E147.jpeg

20221121_195044.jpg

20221121_202332.jpg


---
Ili kujua ukweli na kina cha habari hii tembelea Jukwaa la Jamii Check

- KWELI - Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho
 
Ambush haina ujanja, Jeshi letu lianze kutumia Recconaissance Drones ndogo ndogo, ili kubaini mitego ya Ambush wakati mkiwa kwenye patrol

Poleni JWTZ, jipangeni muwanyuke hao Magaidi.

Hawa Magaidi wanatumia Guerrilla style ni vigumu kuwapata ila tumieni sana inteligence ili kujua Movements zao.
 
Back
Top Bottom