MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Unaweza Kuta hiyo bunduki haina hata risasi si unatujua wabongo tulivyo Na maigizo.
Ha ha ha duh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza Kuta hiyo bunduki haina hata risasi si unatujua wabongo tulivyo Na maigizo.
Duh.. aisee!Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea.
View attachment 2423345View attachment 2423346View attachment 2423347
View attachment 2423397
View attachment 2423423
---
Ili kujua ukweli na kina cha habari hii tembelea Jukwaa la Jamii Check
- KWELI - Msumbiji: Inasemekana Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho
Sivyo..Hizo picha ni za mazoezi waliyokuwa wakifanya