Haya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea.
====
ASKARI WA TANZANIA WALIOPO MSUMBIJI WAMEPIGWA AMBUSHI
Ripoti za Kitaifa 20.11.2022, ni kwamba Jeshi la Lesotho linafanya kazi pamoja na jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Jeshi la Tanzania lilikuwa likisafiri kwa magari ya kivita sambamba na jeshi la Msumbiji. Magari matatu ya jeshi la Tanzania yamechomwa moto.na baadhi ya Silaha kuharibiwa
Taarifa iliyotolewa na kikundi cha Kigaidi cha IS, imedai wamekamata baadhi ya Silaha ikiwemo Chinese Type 81-1 assault rifle pamoja na 12.7x108mm Type 54 HMG ya kwenye gari.
Hata hivyo tukio hilo inaonekana imetokea Tarehe 15 Nov 2022
View attachment 2423345View attachment 2423346View attachment 2423347
View attachment 2423397
View attachment 2423423