TimeOut
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 3,894
- 8,454
Hiyo ni explicityHii habari wadau ifatiliwe tujue ukweli wa mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni explicityHii habari wadau ifatiliwe tujue ukweli wa mambo
Hapo tumesha kanyaga waya mzeeHalafa tz sipend kabisa wajiingize kwenye huo mzozo walinde mipaka tu.
Wazo zuri sana!Silaa izo bora zitegwe hata gps wajulikane wanajificha wapi
Kwanini?Kazi ya jeshi ya kijinga sana.
Acha upimbi weweNafikiri vituo vya kimataifa Kama BBC ,Aljazeera wangereporti hizi habari.Moods nashauri iwe tetesi tu mpaka tutakapo pata taarifa rasimi.
Propaganda za kijinga tu, kwanini wamesamnazi hizo picha, ili iweje?
Huku ukiwa kwa shemeji yako unasubiria ugali kwa tembeleKazi ya jeshi ya kijinga sana.
Yani unauliza kwanini kundi la kigaidi limesambaza picha. Huo unaoita ujinga ndio nia yao yenyewe. Haijawahi tokea kundi la kigaidi lifanye tukio kisha lisitangaze. Ugaidi wenyewe ni ujinga toshaPropaganda za kijinga tu, kwanini wamesamnazi hizo picha, ili iweje?
Bado ni Bunduki muhimu.AK-47
AK 47 haijawahi kuwa outdated mkuu..Hii ni Hiriz 4×4 imetengenezwa na Uturuki hapa wanaotumia GambiaView attachment 2423420
Hawa ni Botswana. Nimeona AK-47 hapo na JWTZ, hiyo bunduki ni outdated kijeshi labda kama wangekuwa militia. Botswana nowadays sijaona wana bunduki za zamani, hata Kenya hapo wamepunguza kutumia AK-47View attachment 2423419
Hawa ni Uganda General Muhoozi akiwa anakagua Cavalier Hamza 6×6 armoured personnel carrierView attachment 2423422
Sio mambo magumu hata. Hata kutoka South Africa hapo tunaweza ongeza idadi ya protected vehicles. Hao waasi kwa haraka wametumia risasi tu, haikutakiwa iwe tishio kivile. Niko tayari kukosolewa
Tatizo sio kuwa outdated lakini bunduki za kisasa Zina nyenzo nyingi zinazompa Askari uhakika wa shabaa yake pasipo kusumbuka sio kama AK 47 iliyotengenezwa uo mwakaAK 47 haijawahi kuwa outdated mkuu..
Si awamu hii tu, kazi majeshi yetu wanayoweza ni kuwanyanyasa wananchi, basi.Awamu hii jeshi letu limekuwa dhaifu sana, inasikitisha sana
Uzi ufutwe kwanini??????Mode naomba ufutwe huu uzi si kila taarifa ina hitaji jamii kujua. Mtoa mada unasafari ya kujifunza juu ya ulinzi n aman ya nchi yako