Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hakuna nchi imewahi kujitosheleza kiulinzi juu ya magaidi.Mimi naona wasiwaamini sana wanajeshi wa Msumbiji wamo pia wanajeshi waliokuwa kwenye kundi la RENAMO waliojiunga na jeshi la Msumbiji baada ya malidhiano - sina shaka hao ndio wanaweza kuwa wanawapatia taarifa hao magaidi kuhusu movement ya majeshi ya kuleta amani nchini Msumbiji - hata hivyo miaka yote hiyo tangu Msumbiji ipate uhuru wanashindwa nini kujilinda??
Tatizo gaidi hatambuliki kwani anajichanganya na raia