Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe bado Tete kuleHaya ni magari ya jwtz yakiwa chini ya himaya ya magaidi. Tunawaombea sana wapiganaji wetu muwe salama, badobTaifa tunawategemea.
====
H=full]2423346[/ATTACH]View attachment 2423347
View attachment 2423397
View attachment 2423423
huna akili.Fake news
Fake news
"Inasemekana" Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho
Fake news [emoji777][emoji777][emoji777] zipuuzwee
kwa ulimwengu huu wa mitandao ya kijamii ni ngumu sana kuficha taarifa. kashindwa mrusi kuficha kuhusu kichapo anachokipata kwenye vita yake na ukraine, ataweza tz.Ila Tanzania niwasiri sana.wanachezea kichapo na hawasemi.
huna akili.Mode naomba ufutwe huu uzi si kila taarifa ina hitaji jamii kujua. Mtoa mada unasafari ya kujifunza juu ya ulinzi n aman ya nchi yako
Fake news
Fake news
"Inasemekana" Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho
Fake news [emoji777][emoji777][emoji777] zipuuzwee
Fake news, wewe ni nani wa kuniambia sina akili? Umewahi kunipeleka shule? Umewahi kunipa lecture? Stupid pumpkin head, wewe unazo hizo akili na unazitumia vipi? Umefika na ukashuhudia kilichotokea? Unawaamini vipi hao au sababu wamepublish kwenye social media na page zao za uchochoroni?, nitaamini pale serikali na vyombo vinavyoaminika watakapotangaza apart from that siamini huo nachukulia km ni uzushi km uzushi mwingine,huna akili.
View attachment 2423704
huna akili.Fake news, wewe ni nani wa kuniambia sina akili? Umewahi kunipeleka shule? Umewahi kunipa lecture? Stupid pumpkin head, wewe unazo hizo akili na unazitumia vipi? Umefika na ukashuhudia kilichotokea? Unawaamini vipi hao au sababu wamepublish kwenye social media na page zao za uchochoroni?, nitaamini pale serikali na vyombo vinavyoaminika watakapotangaza apart from that siamini huo nachukulia km ni uzushi km uzushi mwingine,
Mimi na wewe anaeamini taarifa za kuzusha kwenye social media nani ana akili? Jipimiehuna akili.
Kwahyo avatar yako sidhani kama kuna mtu atakuja kukukosoa[emoji23]Hii ni Hiriz 4×4 imetengenezwa na Uturuki hapa wanaotumia GambiaView attachment 2423420
Hawa ni Botswana. Nimeona AK-47 hapo na JWTZ, hiyo bunduki ni outdated kijeshi labda kama wangekuwa militia. Botswana nowadays sijaona wana bunduki za zamani, hata Kenya hapo wamepunguza kutumia AK-47View attachment 2423419
Hawa ni Uganda General Muhoozi akiwa anakagua Cavalier Hamza 6×6 armoured personnel carrierView attachment 2423422
Sio mambo magumu hata. Hata kutoka South Africa hapo tunaweza ongeza idadi ya protected vehicles. Hao waasi kwa haraka wametumia risasi tu, haikutakiwa iwe tishio kivile. Niko tayari kukosolewa
Huna mamlaka ya kuniambia hayo unayoniambia, km hujaelewa nilichosema ni kheri usinijibu ninachokiandikaKama hujui mambo kaa kimya
Mimi sie nilietoa hii mada mkuu na binafsi sifurahii kabisa hiki kinachotokea huku kwasababu harakati zangu za kusaka mkate kiĺa siku huwa zinaitegemea sana hiyo Mozambique,na kwàsasa mambo ni magumu mno kuingia huko na hata ukija wilaya ya newala upande wa mkunya lazima uwe na barua ya mtendaji yenye picha yako kabisa sasa hii hali unadhani inafurahisha kaka?Naaaamini umefungua ID mpya kwa ajili ya Kutuma habari za Ugaidi huko Kusini Mkuu.
Nipo kivavaUko maeneo gani mkuu?
Hiyo ni Maxxpro na silaha za Magharibi ni za bei kidogo. Tunaweza chukua za South Africa (tunazo kadhaa, Kenya wanazo, Uganda wanazo na wana assembly line walijenga, West Africa ndio zimejazana). Tunaweza chukua za Uturuki na Chinese. Russia zile BTR na BMP ni heavy sana hazifai kupigana na magaidi na sio za kisasa kivile kwa leo, kwanza sio MRAP zile. Ujue silaha ukinunua utakaa nayo miaka 30 uko, sasa ukinunua silaha ya 1970 leo ni hasara. Kwa Russia ile Tigr nayo ni nzuri.Dude kama hilo ni bei gani?
Makosa ya kiufundi tuHivi wanajeshi wetu wakiwa kwenye mission za kimataifa huwa wanatumia magari yenye namba za JWTZ? Siyo kwamba wanatuamia namba za mission iliyowapeleka kama SADC ama UN!! Najiuliza tu kwa sauti kubwa!! Nisaidieni wajuzi.
Nielekeze mkuu na mim hapo nije kupata supu nitoe basiHivi Yale maonesho y kupasua mawe kwa kichwa yanahusianaje na vita wakuu au bas maana nipo MATAKO bar sinza hapa nilikuwa nawaza TU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nondo! Ukweli hua unakuaga mchungu sanaUtachekwa.
AK-47 hata sights za kuweka infrared scope uitumie usiku haina. Ikifika usiku unapigana kama mpuuzi tu wa Boko Haram wakati wewe ni mwanajeshi wa taifa. Huwezi funga sight ya kupima umbali na kulenga shabaha, inategemea uwezo binafsi wa kulenga na uzoefu wa mwanajeshi. Kama unadhani Tanzania ina wanajeshi exceptional kiuwezo basi hujui kulinganisha majeshi au unapumbazwa na uzalendo feki ule unaoamini kujikweza ndio kuipenda nchi.
Hamza pale Salender unajua walimrushia risasi ngapi kabla ya kumuua, wakati ni bonge nyanya refu, kijana mzembe wa familia ya kitajiri hata rifle ukute alikuwa anaziona kwenye movie na aliuwawa barabarani. Sasa angekuwa ni trained terrorist kwa zile AK-47 na SMG unamuua saa ngapi.
Hawa ni Botswana wanazo kama FN FAL na SAR 21View attachment 2423673
Hawa ni Kenya nao wana hizi na AK-47 bado zipo nyingiView attachment 2423674
Hawa ni Russia standard rifle yao kijeshi kwa sasa ni AK-12 ambayo ni derivative ya AK-47 ila ya kisasa ingawa characteristics ni zilezile. Na hii ndio iko very simplified na basic. Waasisi wake wanaziacha kama sio outdated kwa niniView attachment 2423676
Hawa ni China na QBZ-191 ambayo ndio standard rifle. JW niliwaona na kitu kama QBZ-95 mwaka jana/juzi walipopigwa ambush na hawa magaidi ikakamatwa APC ya Kichina. Wachina walikuwa na SMG zao na copycat ya AK-47 wanaita Type 56 wakaziacha. Kama sio outdated kulikuwa na haja ganiView attachment 2423677
Bunduki design ya 1947 haiwezi tumiwa na taifa serious kujilinda. Hiyo ni very cheap ila hata effective range yake ndogo kiasi, accuracy ndio kwa standard za sasa ni ndogo za sights hamna. Hizo bunduki nilizotaja wala sio expensive, sio lazima ziwe hizi. Wajerumani ndio wana bunduki nyingi hatuwezi afford
Nashangaa sana Watanzania hawajabisha. Miaka miwili nyuma hapa ningesema hivi wangeniita sio mzalendo, niko kwa shemeji nalala wakati watu wananilinda misituni, jeshi letu ni imara sana. Kuna wale hamna kitu kabisa wanadiriki kusema sisi jeshi la ardhini ni wa kwanza Afrika, wengine wanakwambia jeshi ni uzalendo as if ukivamiwa na adui uzalendo ndio mbadala wa silaha.Kwahyo avatar yako sidhani kama kuna mtu atakuja kukukosoa[emoji23]
Nakuunga mkonoHii ni Hiriz 4×4 imetengenezwa na Uturuki hapa wanaotumia GambiaView attachment 2423420
Hawa ni Botswana. Nimeona AK-47 hapo na JWTZ, hiyo bunduki ni outdated kijeshi labda kama wangekuwa militia. Botswana nowadays sijaona wana bunduki za zamani, hata Kenya hapo wamepunguza kutumia AK-47View attachment 2423419
Hawa ni Uganda General Muhoozi akiwa anakagua Cavalier Hamza 6×6 armoured personnel carrierView attachment 2423422
Sio mambo magumu hata. Hata kutoka South Africa hapo tunaweza ongeza idadi ya protected vehicles. Hao waasi kwa haraka wametumia risasi tu, haikutakiwa iwe tishio kivile. Niko tayari kukosolewa