Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Hizo picha ni za mazoezi waliyokuwa wakifanya
upo sahihi.ngoja tupate tarifaa rasmiSio mazoezi hayo mzee baba, hebu tazama kioo cha mbele cha hiyo Cruzer kina matundu ya risasi, na hao raia wanaonekana hapo maumbo yao sio ya wanajeshi wa jeiwiii
Kwenye Ambush ni wachache tu ndio hutoka salama tuombe Mungu wawe wamenisurika wengi.daaa hii ambush kali hope hatujapoteza watu wetu wa kazi