Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

Msumbiji Wamekodisha Bandari ya Nacala Kwa Malawi & Zambia Kwa Miaka 100. Tanzania Kupoteza Mteja namba 2 wa Dar Port

Mkuu umeelewa ulichoandika mwanzo na unachoandika hapa?

Umesema Rwanda na Burundi lazima wapitishe mizigo yao Dar port, mm nimekuambia sio kweli na nikakutolea mfano kuwa Rwanda imeongeza kutumia bandari ya Mombasa kwa mizigo kwa zaidi ya 400%

Unasema ni ufanisi na sio umbali. Kwan issue ni ufanisi umbali au issue Ni Rwanda kutokua na ulazima uliosema?

Pia hii post uliyoweka kuhusu hiyo bandari kupewa Malawi kwa miaka 100 sio ya kweli. Mara nyingi nakuambia acha kuandika UONGO
Huyo ni chawa alafu bingwa wa matango pori
 
Kila siku nawaambia hii Nchi Ina shida kubwa sana ya watu wa planning na Wachumi wanaofikiria Kimkakati kujua kipi kianze na kifanyike wapi na kipi kifuate.

Mpaka Sasa hizo Barabara unazotaja zikikamilika tuu,Zambia tunampoteza
Siunasemaga tokea ameingia samia mambo yanaenda vizuri sasa inakuaje tena unatupiwa lawama watu wa planning na uchumi
 
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.

Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.

Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.

Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.

Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.

Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
View attachment 3080432

Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.

Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi

Ushauri,;

Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.

Serikali ifanye yafuatayo
1.Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.

2.Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC(Bukavu,Goma,Kinshasa,Kindu)

3.Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.

4.Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma

5.Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa

6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.

My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya,Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.

Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda,South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.

Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
View attachment 3080431
Akili za mazezeta ccm zipo kwenye kuwaza kuteka watu wapinzani ,kuwapasua pumbu ,kuwabaka na kuwaua
Haya mambo ya msingi wala hutazikia wakihangaika nayo wala hata kuyaongelea
 
Tanzania itengeneze bomba la LPG liende Zambia, malawi, drc? Mkuu umetoa maoni pengine ya jambo ambalo hulifahamu

Unaifahamu LPG ni nn? Na Tanzania tunaitoa wapi?
LPG tunaitoa Qatar, ili uipate LPG ni lazima uwe na kiwanda cha kuisindika gas asilia tulionayo ( ambapo kulingana na January Makamba inaitajika Mradi w Tilioni 6 kubadili gas yetu tuliyonayo kuwa LPG ambayo ni ya kupikia). Mozambique wametengeza Hiyo Liquidified Petrochemical Gas na Total kutoka Ufaransa Pale wilaya ya kasikazini ya Palmas, na wanaisfirisha kwenda Ulaya kwa meli tokea mwaka wa jana mwezi wa 12. Sisi tunatakiwa kuwekeza kwenye kiwanda hiki cha LPG gas ya kupikia na kusupply kwa majirani zetu kwa bomba kama afanyavyo Russia, Norway na nchi zinginezo hii gas ina ela sana.
 
Hapo nimeelewa mantiki ya ulichosema. Mwanzo uliandika juu juu nilijua hufahamu wapi Lpg inatoka
 
kampuni ya total imeingia mkataba na jeshi la rwanda kulinda uwekezaji nchini msumbiji hao magaidi washadhibitiwa, kusema malawi haina hela sio kweli hela haipimwi kwa per km, malawi ina bandari kavu dar tangu enzi ya nyerere
Magaidi gani wamedhibitiwa? Hao Rwanda wanalinda kamji kamoja tu kenye bandari na visima vya gesi, kwingine hawaendi ndio maana wanajeshi wa SADC wamesusa na kuanza kuondoka Mozambique
 
Sie wakazi wa Tunduma kwa mujibubwa ramani hiyo hatutoathirika. Zaidi tutaanza kuwa wateja wa Zambia kwa bidhaa za bei nafui.
 
Bado kuna soko la Burundi na Rwanda kwani kwao ni mbali kupitishia mzigo huko Nacala. Pia sehemu ya DRC ni soko letu la uhakika katika masuala ya bandari.
Acha kukariri , umeshaambiwa Congo wamefufua reli ya kutoka DRC mpaka Angola Lobito , na ukiangalia na hili suala la vita ya Houthis inayoendelea pale middle east, meli hazipiti tena red sea na suez canal , wanazunguka south Afrika na kupitia huko Atlantic meli zinazotoka asia kwenda Europe na baadhi ya maeneo ya middle east , so logically ina make sense that means kuna traffic kubwa ya meli kwenye bandari za kusini kwa Afrika kama Cape town ,Lobito nk
Ndio maana DRC wanaona hiyo ni option nzuri kwani umbali huo ni mfupi tofauti na wa kutoka huko kwenda Dar

Ndio biashara zilivyo , unabadilika na kuadapt kila kukicha na si kukariri na kuwa dormant kama Tanzania tulivyo dormant Kwa vitu vingi ,na tunafanya vitu kwa mazoea bila ubunifu na adaptability ,Ndio umuhimu wa taifa kuwa na think tanks ,watu wanaokaa chini na kuumiza akili kwa kufanya analysis ya mambo na kuangalia vitu kwa mapana na kufanya maamuzi na mipango yenye akili na impacts nzuri kwa future ya nchi .
Na si huu uchawa na upumbavu wa kuteuana kupeana vyeo kimalaya malaya kama tunavyofanya hapa nchini
 
Uchumi inabidi kudiversify na kuwa na outputs na efficiency katika nyanja nyingi , si kuishi kwa kutegemea bandari tu ,wakati bandari hiyo tunategemea Zambia ,DRC ,Malawi na nchi chache sana ili tuingize faida ,hii ni failure .
Nchi inatakiwa tuwe wazalishaji wakubwa wa bidhaa za viwandani na tuwe wauzaji kwa majirani na nyingine tuuze nje ya nchi mbali huko , tusiishi kwa kubabaika na vipato vya malonya lonya ya kichina yanayoletwa kwa majirani zetu na sisi ndio tunalenga hapo tupate kodi mbaya zaidi tunabweteka na kuendelea kufanya mambo kimazoea kwa ufisadi na ukosefu wa maono tukidhania kila siku mambo yatakuwa vilevile ,hizo ni akili mfu za viongozi mazezeta wa ccm
Viongozi wenye akili wangewekeza kwa nguvu zote kuhakikisha hii nchi inakuwa Industrial superpower ukanda huu miaka yote hii zaidi ya 60 baada ya uhuru .
 
Tuna hitaji kuanza na viwanda vidogo vya uzalishaji kwa bidhaa za ukanda wetu hasa malighafi Afrika tuna import sababu hatuna uwezo wa kuzigeuza malighafi kuwa bidhaa za mwanzo za uchakataji Tanzania tutumie huu mwanya.

Kwa namna hiyo itaweza chochea sekta ya uchukuzi. Tuchape kazi na iwe kazi kweli kuliko mabishano ya mpira, matamasha ya mziki stareh3 zisizo na tija, Tanzania inatakiwa tuingie kwenye sera ya viwanda na teknolojia hata ya awali na kati tuu tukisema tuendelee kuagiza tena tutadidimia. Faida ya uzalishaji wa ndani ni kubwa kuliko kuagiza.
Na hii ndio solution ya kudumu ya matatizo ya kiuchumi nchi hii .
Huu uchumi mfu tulio nao ni kwamba hatuzsalishi sana na kuuza nje kwa wingi kama inavyotakiwa , yaani inabidi tufanye massive overhaul ya mfumo wa uongozi nchi hii top to bottom .
Kuna mazezeta wameshikilia vitengo ambavyo hawakufaa hata kuwa wafagiaji wa hizo ofisi .
Na Sera za kishenzi zote na politics chafu za ccm zibadilishwe ,yaani tuanze upya kabisa .

Tanzania inabidi iwe China ya East and South Africa ,tukifanikiwa hapa ,hata sekta yenyewe ya uchukuzi itapanuka sana maana pesa itakuwepo ya kutosha na utasafirishwa bidhaa zetu wenyewe na si kutegemea importations za malonya lonya Toma China kuja kwetu na kwa majirani zetu
 
Benguela railway tayari marekani ameingiza mkono anaijenga, copper ya congo kwenda USA itakuwa inasafirishwa KUTOKEA lubumbashi to Lobito by railway...ni maumivu...na KUTOKEA Dar port to Lubumbashi ni mbali kulinganiaha na Lobito to Lubumbashi. Yote hii imesababishwa na msongamano na ufanisi wa hali ya chini katika bandari za Africa mashariki
Sasa Copper inaenda USA unataka pia ipite njia ndefu to Indian Ocean badala ya Atlantic? Na ukizingatia pia Lubumbashi ni karibu Atlantic Ocean kuliko Dar Port!!

Huu ulafi mwingine sasa ni hatari!!
 
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.

Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.

Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.

Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.

Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.

Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
View attachment 3080432

Pia soma: Bandari za Dar na Mtwara Kuwa Mashakani Kutokana na Nchi za Zambia,Malawi na Mozambique Kuzindua Upanuzi Mkubwa wa Miundombinu ya Nacala Port.

Kwa maelezo zaidi soma hapa Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi

Ushauri,;

Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.

Serikali ifanye yafuatayo
1.Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.

2.Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC(Bukavu,Goma,Kinshasa,Kindu)

3.Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.

4.Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma

5.Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa

6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.

My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya,Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.

Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda,South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.

Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
View attachment 3080431
Muhimu tuwe na share nzuri ya biashara ya bandari. Sio lazima tuwe namba moja. Kwa upande wa DRC tunaweza kutunza nafasi yetu kamba nba moja kwa kuwekeza kuimarisha miundombini na uwezo wa kusimamia wenyewe sio kukodishia wageni. Wanachofanya wageni ni usimamizi tu huku wenyewe tunawekeza mabilioni wao wanavuna huku wenyewe tukiambulia makombo.
 
Jamaa anaandika kile ambacho kinakuja muda huo kichwani, namuulizaga huwa unahisi unaandikia watu wajinga huku?

Hii tu post yenyewe ya Malawi kupewa hiyo bandari sio kitu cha kweli
Ni kama anapost ili alipwe ni bingwa wa matango pori yaani anaongeleaga mambo kirahisi sana ilihali hayako hivyo
 
LPG tunaitoa Qatar, ili uipate LPG ni lazima uwe na kiwanda cha kuisindika gas asilia tulionayo ( ambapo kulingana na January Makamba inaitajika Mradi w Tilioni 6 kubadili gas yetu tuliyonayo kuwa LPG ambayo ni ya kupikia). Mozambique wametengeza Hiyo Liquidified Petrochemical Gas na Total kutoka Ufaransa Pale wilaya ya kasikazini ya Palmas, na wanaisfirisha kwenda Ulaya kwa meli tokea mwaka wa jana mwezi wa 12. Sisi tunatakiwa kuwekeza kwenye kiwanda hiki cha LPG gas ya kupikia na kusupply kwa majirani zetu kwa bomba kama afanyavyo Russia, Norway na nchi zinginezo hii gas ina ela sana.
Kuna vitu unachanganya
LPG ni liquified petroleum gas hii inatokana na crude oil na inachakatwa na oil refinery
nchi yeyote yenye oil refinery wanaichakata hii na ndo tunayoitumia majumbani kila siku kwenye mitungi

Kuna liquified natural gas (LNG) ambayo ni gas asilia na ipo mtwara na msumbiji kwenye bonde la ruvuma hii inachakwa na Natural gas refinery

Kusema mozambique wanayo natural gas refinery sio kweli ni gharama sana nilichosikia wako kwenye mchakato wa kukitengeneza
 
Kila siku nawaambia hii Nchi Ina shida kubwa sana ya watu wa planning na Wachumi wanaofikiria Kimkakati kujua kipi kianze na kifanyike wapi na kipi kifuate.

Mpaka Sasa hizo Barabara unazotaja zikikamilika tuu,Zambia tunampoteza
Watu wapo busy kumsifia mama unafikiri wana balls za kumshauri mambo makubwa kama hayo.af kinachoudhi wengi ni wasomi wakubwa tu wanakanyaga taaluma zao wanaenda kupiga uchawa
 
Back
Top Bottom