Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

Msumbiji Hadi ulaya kilomita ngapi!?..unalipitisha wapi!?..alisikia lini Bomba la gesi linajengwa msumbiji Hadi ulaya!?
 
Msumbiji Hadi ulaya kilomita ngapi!?..unalipitisha wapi!?..alisikia lini Bomba la gesi linajengwa msumbiji Hadi ulaya!?
Wewe ulivyompinga jamaa ni kana kwamba haiwezekani gesi kusafirishwa kutoka msumbiji hadi ulaya kwa kutumia bomba,na sio kuwa amesikia lini,bomba linajengwa.Lina pita wapi kwani hizo meli zinazotoka Ulaya kuja kwenye bandari ya Beira zina pita wapi?hata ziwe 11,000km,kama wakiona ki uchumi linalipa wanajenga tu.
 
Haiwezekani gesi kusafirishwa toka msumbiji kwenda ulaya kwa Bomba,wapi juu wapi chini?
 
Na huo ndio ukweli mchungu !! Tatizo letu siku zote kama Nchi ni Uselfishness hatuangalii maslahi ya Nchi kwanza!! Bali ya kwetu ndio ya kwanza na ndio ya muhimu zaidi !!
 
Mmmmh! Ndio maana kule hapatulii kila siku visanga kama congo![emoji848] Mtwara yetu itapona kweli!?
 
Yaani! Ni hivi! Tukitafuta suluhisho la kumaliza tatizo una dhani wale wazee wa fojifoji nangai watakula wapi!!? Sio kwamba hawajui hizo suluhu
 
Gesi ya iliyopo Tanzania sio ya kwetu. Nionyesheni kisima cha TPDC
 
Dah...
Siamini kauli hii.
Hata zile Flyover na Viwanja vya ndege basi hata Reli vyote ni utapeli...?
Mimi sikumkubali magu hasa kwenye uonevu na double standards japo yapo mazuri aliyoyafanya.Upendeleo kwa baadhi ya mikoa ni kidonda ambacho hata baada ya yeye kutoweka kitatutesa sana kisiasa na kiutawala na hii ni invisible illness.
 
Mimi sikumkubali magu hasa kwenye uonevu na double standards japo yapo mazuri aliyoyafanya.Upendeleo kwa baadhi ya mikoa ni kidonda ambacho hata baada ya yeye kutoweka kitatutesa sana kisiasa na kiutawala na hii ni invisible illness.
Mbona hata Jakaya na Mkapa walijenga katika mikoa yao
 
Gesi ya iliyopo Tanzania sio ya kwetu. Nionyesheni kisima cha TPDC
Hata kama tumeshapigwa, hivi hata kununua gas hatuwezi kuwasha turbines zetu kumaliza tatizo la umeme? watu wawe na huruma hata kama ni upigaji sio kumaliza na kuua biashara za watu na kufanya maisha ya watu kuwa magumu, hata ile idea ya kuzamisha trillion sita kwenye hydro naona haikuwa idea nzuri maana bado tutategemea mvua tuu, mtu mweusi ni changamoto sana acha wazungu watupige tuu labda tutapata akili, cha ajabu hakuna hata mbunge mmoja anauliza kuhusu gas imeishia wapi na wananchi mpaka leo hatujui ukweli zaidi ya kusikia tumepigwa tuu
 
Ili ufanye overhaul lazima ujue una nyenzo gani. Unabadili nini kuweka nini. Kwa sasa naona kubadiri mfumo huu wa chama kimoja, kuna uwezekano mkubwa ni kabadiri tu majina!
Ona sasa watanzania wenyewe ni maskini wa kipato na akili. Namna pekee tuliyonayo ni kupata dikteta mzalendo(benevolent dictator) na kuipa tafsir yenye manufaa demokrasia tuitakayo.
Mf 1 Tunaweza kubadiri wapiga kura wapass test apige tu well_informed na knowledgeable( tuwaondoe wahongwa wali na kanga).
Mf 2 kuimarisha taasisi za checks and balance kuwepo na siasa shirikishi.
Mf 3 kuondoa ukomo wa utawala kama sifa ya demokrasia ili tusimpoteze anayetufaa.
 
Tunazingatia kabila na asili kwa sababu kuna makabila yamejaa ukatili na roho mbaya. Watanzania sio wakatili na hawana roho mbaya
Hao wahutu wa Katavi na Kigoma, ambao sasa wameenea Tanzania nzima ni watanzania wamapewa uraia! Huelewi? Na bado ni wahutu huwezi ukageneralize kabila lolote kwamba ni wakatili!
Kabila la wahutu lipo Tanzania. Kama wangekuwa na hulka ya ukatili kama unavyotaka kutuaminisha, Tanzania isiinge kubali kuwapa uraia na makazi maalumu kwa ajili ya kabila lao!
Nia yako kama ni kejeli, tumia maneno mengine - siyo kabila. Heshimu kabila la wahutu kama unavyo taka kabila lako liheshimiwe.
 
Asante kwa ufafanuzi. Nisaidie masuala kadhaa hapa. 1. Wapiga kura kupass test inakuwaje hasa kwa kuzingatia mfumo wetu kura hazipigwi kwa maeneo(hatuna electoral college) na hizo test pia huoni kama zina ubaguzi?
2. Checks and balances zipo kwa mujibu wa katiba. Kama hazipo vizuri tunalazimika kufanya overhaul ya mfumo(katiba?).
3. Binadamu huwa hatutabiliki. Huyo benevolent dictator akitugeuka tukiwa tumeondoa ukomo tufanyeje(mapinduzi?). Nadhani best option tuwe na katiba ambayo ni jumuishi na ambayo haitakidhi maslahi binafsi ya mtu au kikundi bali kikundi au mtu akidhi mahitaji ya katiba.
 
Acha tuendelee kulala ile wizara ilibidi iwe na mtu makini km Mhongo
 
Magufuli hii nchi aliirudisha nyuma miaka 10, sio kwenye utawala bora wa sheria tu bali pia maendeleo
Magufuli alikua na malengo mazuri mikataba mingi ya wazungu tuliyoingia humu haitufaidishi ni ujanja ujanja yeye alikua anarekebisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…