Msuva Yanga wanapoteza pesa za wanachama na tajiri wao. KAISHA KACHAKAA

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu.

yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga.

Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna mchezaji mule, atulie tu bench.
 
kuna rumours that msuva amesign youn africans baada ya kutemwa na rsb berkane. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. kaisha. timu ya taifa pia tumteme time is up. afcon pelegrino ndani msuva hapana. amna mchezaji mule. atulie tu bench
Time will tell!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
kuna rumours that msuva amesign youn africans baada ya kutemwa na rsb berkane. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. kaisha. timu ya taifa pia tumteme time is up. afcon pelegrino ndani msuva hapana. amna mchezaji mule. atulie tu bench
Duuuh mbona kama chuki vile? Moja msuva hakuwa berkane, tuliza hofu ndio uandike thread

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
kuna rumours that msuva amesign youn africans baada ya kutemwa na rsb berkane. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. kaisha. timu ya taifa pia tumteme time is up. afcon pelegrino ndani msuva hapana. amna mchezaji mule. atulie tu bench
Wewe ujui kitu si mfatiliaji wa soka msuva na rs berkane wapi na wapi acha ukurupukaji
 
Mimi nasemaje hata huyu Samatta ni suala la muda tu baada ya hii Afcon kuisha hata hamu ya kumuona hatutokuwa nayo.

Hao watu walidanganya umri ila kam tujuavyo Muda haudanganyi.....Muda ulivuta kiti ukisubir Wakat muafaka wa kutenganisha Umri na kiwango.
 
Sasa unamlaum msuva kwakumhukum dhidi ya mechi ya Jana?, Hiyo mechi ya Jana ilikuwa ni Bonanza na upuuzi .. Kama kocha ndio alitumia Kama kipimo Cha kuchagua kikosi basi hamna timu Tz.
 
Hizi clubs za simba na yanga huwa wanajiona ni wakubwa mno hivi yanga yangu hii ambayo mtu kama mzize,musonda,nondo na kibabage huwa wanacheza ndio ashindwe msuva kweli?
wote hao wanachance ya ku improve sana. and are good players, msuva amna kitu mule
 
Sasa unamlaum msuva kwakumhukum dhidi ya mechi ya Jana?, Hiyo mechi ya Jana ilikuwa ni Bonanza na upuuzi .. Kama kocha ndio alitumia Kama kipimo Cha kuchagua kikosi basi hamna timu Tz.
kwa level yake kwa sasa. afai kuitwa kwenye kikosi cha taifa. he is poor.
 
Back
Top Bottom