Msuva Yanga wanapoteza pesa za wanachama na tajiri wao. KAISHA KACHAKAA

Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu.

yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga.

Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna mchezaji mule, atulie tu bench.
Muhimu tu asije akawa prove wrong, halafu mkaishi kwa aibu humu jukwaani kama ilivyo kwa Mhasibu wa Mo.
 
Kuna rumours that Msuva amesign youn Africans baada ya kutemwa na js kabylie. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu.

yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga.

Kaisha timu ya taifa pia tumteme time is up. Afcon pelegrino ndani Msuva hapana. Hamna mchezaji mule, atulie tu bench.
unakunywa mataputapu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom