Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Time will tell!kuna rumours that msuva amesign youn africans baada ya kutemwa na rsb berkane. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. kaisha. timu ya taifa pia tumteme time is up. afcon pelegrino ndani msuva hapana. amna mchezaji mule. atulie tu bench
Duuuh mbona kama chuki vile? Moja msuva hakuwa berkane, tuliza hofu ndio uandike threadkuna rumours that msuva amesign youn africans baada ya kutemwa na rsb berkane. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. kaisha. timu ya taifa pia tumteme time is up. afcon pelegrino ndani msuva hapana. amna mchezaji mule. atulie tu bench
Wewe ujui kitu si mfatiliaji wa soka msuva na rs berkane wapi na wapi acha ukurupukajikuna rumours that msuva amesign youn africans baada ya kutemwa na rsb berkane. leo kacheza vibaya sana. kiwango amna kitu. yanga mkimbieni huyu mtu. atakuja kupoteza mda na nafasi za kinda hapo yanga. kaisha. timu ya taifa pia tumteme time is up. afcon pelegrino ndani msuva hapana. amna mchezaji mule. atulie tu bench
js kabylieWewe ujui kitu si mfatiliaji wa soka msuva na rs berkane wapi na wapi acha ukurupukaji
Alifanya mazoezi lini ya pamoja na yanga hata kwenye hicho kikosi alicho cheza jana
Msuva bado nimchezaji Mzuri huwezi kumuhukumu kwenye mechi moja ambapo kacheza na wachezaji wengi ambao hajawahi kacheza naoKwakweli jamaa kaisha huwezi amini. Mechi ya jana alikuwa anakimbiakimbia tu uwanjani utafikiri Yuko kwenye mashindano ya kufukuza kuku.
wote hao wanachance ya ku improve sana. and are good players, msuva amna kitu muleHizi clubs za simba na yanga huwa wanajiona ni wakubwa mno hivi yanga yangu hii ambayo mtu kama mzize,musonda,nondo na kibabage huwa wanacheza ndio ashindwe msuva kweli?
sio hate, when the truth is said. mnakataa ukweli mnasema hateBaada ya Samatta mmehamia Kwa Msuva.
Hate is such a weak emotion.
kwa level yake kwa sasa. afai kuitwa kwenye kikosi cha taifa. he is poor.Sasa unamlaum msuva kwakumhukum dhidi ya mechi ya Jana?, Hiyo mechi ya Jana ilikuwa ni Bonanza na upuuzi .. Kama kocha ndio alitumia Kama kipimo Cha kuchagua kikosi basi hamna timu Tz.