Mswaki wako hutumika kwa muda gani mpaka ununue mpya ?

Mswaki wako hutumika kwa muda gani mpaka ununue mpya ?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1645966598909.png


Kuwa muwazi, mara ya mwisho kubaili mswaki ilikuwa lini, ilikuwa ni muda gani umepita kabla ya kununua mswaki mwengine.

Binafsi mimi kama mimi kwa asili yangu nilikuwa natumia mswaki hata miezi minne ama mitano, kwa sasa nasaidiwa na mke wangu anabadilisha kila mwezi, bila hivyo ningeendelea na utaratibu wa miezi minne.
 
Kuwa muwazi, Mara ya mwisho kupasuliwa lini?
 
Sema ukwel huu mwaka na kitu umekata na sijawaza kitu kama hicho
 
Mimi KILA dawa ya meno mpya na mswaki mpya
 
Back
Top Bottom