Mtaa umejaa wanaijeria

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
826
Reaction score
1,622
Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
 
Mtaa Gani tufahamu na mkoa gani?
 
Ndy maana kuna
 
mmm, tunatakiwa tuwe makini, nigeria bado wana hasira na vita ya Biafra..TZ iliwasapoti waasi Malawi bado wanalikodolea macho ziwa nyasa, wanatamani sana mafuta na gesi iliyopo katika ukanda huo wa ziwa. TZ tunatakiwa tuongeze umakini
 
Duuh hatar kubwa nikikumbuka na lile tamko la ubalozin USA mmmh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…