Mtaa umejaa wanaijeria

Mtaa umejaa wanaijeria

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
826
Reaction score
1,622
Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
 
Mtaa Gani tufahamu na mkoa gani?
 
Ndy maana kuna
Mifumo dhaifu ya kimtandao ni kivutio namba moja kwa hao mabwana

Mifumo rahisi ya kimichongo ya kufanikisha dili mbalimbali haramu ni kivutio namba nyingine kwa hao mabwa
Mifumo dhaifu ya kimtandao ni kivutio namba moja kwa hao mabwana

Mifumo rahisi ya kimichongo ya kufanikisha dili mbalimbali haramu ni kivutio namba nyingine kwa hao mabwana
Ndy inaweza kua kwel sabab wanaija ni wanjanja Sana wa mitandao hata kule kwao kampuni za kubet zilishakimbia
 
Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
mmm, tunatakiwa tuwe makini, nigeria bado wana hasira na vita ya Biafra..TZ iliwasapoti waasi Malawi bado wanalikodolea macho ziwa nyasa, wanatamani sana mafuta na gesi iliyopo katika ukanda huo wa ziwa. TZ tunatakiwa tuongeze umakini
 
Duuh hatar kubwa nikikumbuka na lile tamko la ubalozin USA mmmh
 
Back
Top Bottom