Kenyans wako wengi sana nje tofauti na TanzaniansHayo ni machache kati ya mengi...nilicho gundua ni kua Tz haijulikani
Yaan Kenya inajulikana out side kuliko Tz
We have a long journey [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenyans wako wengi sana nje tofauti na TanzaniansHayo ni machache kati ya mengi...nilicho gundua ni kua Tz haijulikani
Yaan Kenya inajulikana out side kuliko Tz
We have a long journey [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Mademu zao wanasura kama mawanaume halafu ni wababeWanawashangaa madada zetu walvo na mazigo
Itakua mama kasoma Sana komenti zangu humu na anazikubaliBadala ya kuwashangaw Wachina, Waarabu na Wahindi wewe unamshangaa Mwafrika mwenzako!? Kama wanaishi kihalali hapa nchini wewe kinachokujalisha ni nini!? Na wewe nenda nchini kwao ukatafute fursa za kimaisha.
Rais Samia akihutubia taifa leo amesema kuwa huwa anasoma maoni kuhusu Serikali yake kupitia mtandao maarufu wa Jamii Forums. Huoni kuwa akisoma huu uzi wako atakushangaa sana kuhusu uelewa wako, wakati yeye tayari kashaifungua nchi kwa ajili ya wawekezaji kutoka nje ya nchi.
Hiyo mitaa hao sio wamalawi kweli? Wanaijeria wnapenda sana kuhang out masaki na oysterbayDar mitaa kwanzia tegeta ,ununio mpk mbweni
Long journey to where you fool!!?..Kenya wanajulikana na tunawalishaHayo ni machache kati ya mengi...nilicho gundua ni kua Tz haijulikani
Yaan Kenya inajulikana out side kuliko Tz
We have a long journey 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama unajuwa wachagga walivyo basi hawaja pishana sana na wanigeria...Tangu uzaliwe umeshawahikuona mtz yoyote anaenda kutafuta maisha naigeria?ni wabaguzi sana ukiishi nao ndio utawajua
Hawa ndio matajiri wa dada zetu,ukiona viduka vya hawa dada zetu wa mijini nyuma yao kuna Wanaija na Wakongo, wanaingia na gia za kuoa au uchumba lakini nia yao ni kupata vibali na mteremko wa kufanya biashara zao za sembe nambari wani.Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
Wee ndo Dalali waoHaya ni maoni mengine ya mnaigeria...
Disturbance only for illegal migrants....if you are in the country legally no problems and you are free.....
About cost of renting apartments here depend on the locations of that apartments........
There is local areas like Magomeni, Kimara, Kariakoo, Manzese, Sinza and Mwenge you can catch an apartment for even $25 per month but these areas safety at your own risk....so many robberies incidents...and other crime activities.....
Areas like Masaki, Oysterbay, Kawe ,Mbezi beach, Msasani are safety places but are too expensives
Apartments with self contained single room can cost up $ 600 per month.....so choice is yours..
WA-Nigeria wamekuja huko bongo kuwaibia pesa kaeni vizuri sana hao watu ni hatari sana katika bara la afrika. Mutalizwa sana.Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
Mchaga ana nafuu kuliko mapopo hawana utu kabisa in short all west African are same shit,wanajiona wana akili kuliko waafrika wengineKama unajuwa wachagga walivyo basi hawaja pishana sana na wanigeria...
Acha uongo kampuni za betting nyiiiingi tu NigeriaNdy maana kuna
Watanzania ni watu wa kuridhika na wanaohusudu Rushwa.mmm, tunatakiwa tuwe makini, nigeria bado wana hasira na vita ya Biafra..TZ iliwasapoti waasi Malawi bado wanalikodolea macho ziwa nyasa, wanatamani sana mafuta na gesi iliyopo katika ukanda huo wa ziwa. TZ tunatakiwa tuongeze umakini
Kwao kuna swaumu kali ndio maana wanakimbia,tatizo hawana ustaarabu washambaWanatafuta maisha
TayariiiiKama unajuwa wachagga walivyo basi hawaja pishana sana na wanigeria...
Badala ya kuwashangaw Wachina, Waarabu na Wahindi wewe unamshangaa Mwafrika mwenzako!? Kama wanaishi kihalali hapa nchini wewe kinachokujalisha ni nini!? Na wewe nenda nchini kwao ukatafute fursa za kimaisha.
Rais Samia akihutubia taifa leo amesema kuwa huwa anasoma maoni kuhusu Serikali yake kupitia mtandao maarufu wa Jamii Forums. Huoni kuwa akisoma huu uzi wako atakushangaa sana kuhusu uelewa wako, wakati yeye tayari kashaifungua nchi kwa ajili ya wawekezaji kutoka nje ya nchi.
mtaa upi?Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
Hizi ndizo haswa sababu za msingi za hawa jamaa ku flock Tz!Ninachohisi hawa jamaa wanafanya hapa bongo ni moja kati ya haya
1) deals za kupush drugs kupitia Tanzania kuingiza sehemu nyingine Africa
2) Issues za online scams / utapeli wa kimtandao hasa ukiangalia kama wanaweza jipenyeza kwa passport za Tanzania Maana wao hawaamini duniani kwa sasa so wakipiga deals za kitapeli mitandaoni kwa kutumia Id za Tanzania sio rahisi mtu kuwadoubt
3) Watakuwa wanafukuzia passport ya Tanzania wakafanyie issues za kuzamia nchi nyingine kukamilisha mambo yao
4)Au Kuna gepu la biashara ya magendo wameliona hapa Tanzania na wanalifukuzia