Mtaa umejaa wanaijeria

Mtaa umejaa wanaijeria

Wee ndo Dalali wao
Never argue with an idiot in public because the general public will have no way of knowing who is who.

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Umesoma nilicho andika tangu mwanzo wa hii thread au NDIO umekurupuka na mihemko yako🤣🤣😂😂😊🤓
 
Long journey to where you fool!!?..Kenya wanajulikana na tunawalisha
Kwenye hili haina haja ya ushabiki kama wa SIMBA NA YANGA 🤓🤠😊

Google inaweza kukupa fact so easily kua kati ya nchi yetu TANZANIA 🇹🇿 VS KENYA nani yupo ahead ya mwenzake ki uchumi na maendeleo...
wenye kufahamu wanaweza kukusaidia pia
Tunaipenda Tanzania nchi yetu kisiwa Cha amani pia Kwenye resources tumewazid Kila kitu wa Kenya iz very true..
Wanasemaga mpak mlima Kilimanjaro ni wao🤓

Kijana siku nyingine usiniite majina ya ajab ajab wew kitu pekee unacho nizidi mimi ni UJINGA 🤣🤣😂😂

Pia jitahid ku BRAIN 🧠 YOUR EYES
 
Mifumo dhaifu ya kimtandao ni kivutio namba moja kwa hao mabwana

Mifumo rahisi ya kimichongo ya kufanikisha dili mbalimbali haramu ni kivutio namba nyingine kwa hao mabwana
Umemaliza mkuu. Tutapigwa mpaka tuchakae. Lakini muda mwingine ni fursa pia kwa vijana wetu watafundishwa mengi na hawa vijana wanigeria hasa utafutaji,japo utafutaji wao 95% ni uwizi hasa wa mtandaoni. Hawa kenge wanaweza kuhamisha Bank nzima na msijue mmepigwaje?. Hapo mpaka muombe msaada FBI
 
Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
tuwe makn wakikosa ajira watakuwa magaidi au majambaz
 
Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
Chama cha ccm kimejaa watu wasio raia chungu mzima wamejipenyeza hadi kwenye siasa za chama tawala ni wengi mno ....tatizo ni serikali ya ccm kuongozwa na watu wasio na akili ...mfano swala la vitambulisho vya taifa kukwama tena walio kwamisha vitambulisho vya taifa ni wageni walio ndani ya ccm kwa makusudi nilitakaga kuleta uzi kuhusu jinsi gani vitambulisho vya taifa vimekuwa ni upumbavu usio na faida kwa taifa
 
Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
Sio wapopo tu kuna hawa Wacomoro eeeh!!wapo kama panya road na wakitembea wanatembea kundi zima.
 
Badala ya kuwashangaw Wachina, Waarabu na Wahindi wewe unamshangaa Mwafrika mwenzako!? Kama wanaishi kihalali hapa nchini wewe kinachokujalisha ni nini!? Na wewe nenda nchini kwao ukatafute fursa za kimaisha.

Rais Samia akihutubia taifa leo amesema kuwa huwa anasoma maoni kuhusu Serikali yake kupitia mtandao maarufu wa Jamii Forums. Huoni kuwa akisoma huu uzi wako atakushangaa sana kuhusu uelewa wako, wakati yeye tayari kashaifungua nchi kwa ajili ya wawekezaji kutoka nje ya nchi.
dah watu kama wew hamfai kweny nchi , ni watu wakurupukaj na hamtak kutumia akili zenu vzr huenda ukawa mnufaika wa uhamiaj harama huu au uwepo wa hawa wahamiaj haram
 
mmm, tunatakiwa tuwe makini, nigeria bado wana hasira na vita ya Biafra..TZ iliwasapoti waasi Malawi bado wanalikodolea macho ziwa nyasa, wanatamani sana mafuta na gesi iliyopo katika ukanda huo wa ziwa. TZ tunatakiwa tuongeze umakini
Ziwa lilishachukuliwa kitambo sana mpaka sasa linaitwa ziwa Malawi
 
Back
Top Bottom