Mtaa umejaa wanaijeria

Mtaa umejaa wanaijeria

Hawa ndio matajiri wa dada zetu,ukiona viduka vya hawa dada zetu wa mijini nyuma yao kuna Wanaija na Wakongo, wanaingia na gia za kuoa au uchumba lakini nia yao ni kupata vibali na mteremko wa kufanya biashara zao za sembe nambari wani.
Nimekumbuka shost angu alipigwa hivi hivi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kunani mtaani kumejaa hawa vijana kutoka Lagos na Abuja na wako kimakund makund Kuna nn Hapa bongo ?
Je wamekuja kutalii au wamekuja kuota jua la bongo maana wanalalamika bongo joto au wamekuja na mishe zngne tusizozijua au kutafuta maisha? Ila wanantia mashaka wanavozd kuwa weng na wengne hawatak kutambulika kama ni wanaijeria maana ukimsalimia iwe ni kiswahili kiarabu au kiingeleza hakujb anatumbua macho like bubu.
Kunani naulizaaa bila kusahau wamalawi had kwenye sensa wamesema wao n watanzania na wanauficha mno uraia wap.
Mbona umesahau Wachina,Waarabu ,Wazungu waliozagaa kitaa chenu Wala haujadili anaangaika na Mtu mweusi mwenzako anayetafuta Ugali katika ardhi ya Mama yake na Mama yake.
 
Mbona umesahau Wachina,Waarabu ,Wazungu waliozagaa kitaa chenu Wala haujadili anaangaika na Mtu mweusi mwenzako anayetafuta Ugali katika ardhi ya Mama yake na Mama yake.
Unaweza kuanzisha wewe kuhusu Wachina, waarabu na Wazungu.
Sio lazima kila kitu afanye yeye.
Hii ardhi sio ya wanaijeria,
Ugali anautafuta kwa njia halali?
Unadhani dunia nzima inawachukia wanaijeria? Kwanini hawatakiwi popote pale....
 
Mheshimiwa Rais tupia jicho idara ya uhamiaji,kama ulivyoimulika polisi!! Hali ni mbaya nchi imevamiwa na wageni!!
Wamalawi,wanaijeria,wakameruni wamevamia nchi wananunua hivi viwanja vinavyouzwa na makampuni binafsi,mbaya zaidi hawaulizwi utambulisho wao kama national id !! Haya makampuni yanayaka pesa tuu!!
Wamejaa Sana huku gezaulole wengi wananunua viwanja vilivyo ufukweni!! Ni hatari Sana, hasa suala la madawa ya kulevya!! Pia ukienda tuangoma,kimbiji wapo wa kutosha usiku ndio hujiachia !!
Idara ya uhamiaji ni wapigaji tuu wanakuja usiku na kuondoka!
Hawa jamaa ni wajanja Sana usiku hujichanganya bar na kucheza pool table Kwa lengo la kujifunza kiswahili Kwa watanzania
Ni kweli,wiki iliyopita nilikuwa maeneo ya tabata segerea kwenye bar moja naangalia mpira na washkaji zangu, pale walijaa Waganda na Wanyarwanda.

Nilikuja kuwagundua kwa lugha zao,tena walikuwa hawajifichi..kingereza na kilugha chao waziwazi.
 
Hao hawana athari kubwa kama west African,ingawa wanyarwanda wana tabia ya kujipenyeza kwenye system ya nchi ili kutawala watu wengine kama Congo wanajuta kuwakaribisha
 
Kwenye hili haina haja ya ushabiki kama wa SIMBA NA YANGA 🤓🤠😊

Google inaweza kukupa fact so easily kua kati ya nchi yetu TANZANIA 🇹🇿 VS KENYA nani yupo ahead ya mwenzake ki uchumi na maendeleo...
wenye kufahamu wanaweza kukusaidia pia
Tunaipenda Tanzania nchi yetu kisiwa Cha amani pia Kwenye resources tumewazid Kila kitu wa Kenya iz very true..
Wanasemaga mpak mlima Kilimanjaro ni wao🤓

Kijana siku nyingine usiniite majina ya ajab ajab wew kitu pekee unacho nizidi mimi ni UJINGA 🤣🤣😂😂

Pia jitahid ku BRAIN 🧠 YOUR EYES
Nchi iko mbele kiuchumi na haiwezi kujilisha!?.. GDP huwa haiakisi economic welfare, GDP ya Kenya ni kubwa sawa,economic welfare ikoje kati ya Kenya na Tanzania!?..maisha ya Kenya unayajua!?..nenda kaishi walau miezi mitatu uone
 
Ni kweli,wiki iliyopita nilikuwa maeneo ya tabata segerea kwenye bar moja naangalia mpira na washkaji zangu, pale walijaa Waganda na Wanyarwanda.

Nilikuja kuwagundua kwa lugha zao,tena walikuwa hawajifichi..kingereza na kilugha chao waziwazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeee.
 
Nchi iko mbele kiuchumi na haiwezi kujilisha!?.. GDP huwa haiakisi economic welfare, GDP ya Kenya ni kubwa sawa,economic welfare ikoje kati ya Kenya na Tanzania!?..maisha ya Kenya unayajua!?..nenda kaishi walau miezi mitatu uone
Nikaishi mara ngap? Ndio maana nikamwambia punguza mchecheto na mihemko🤣🤣😂😂

Hapa bongo ni mara nyingi unaweza uka mess up naul ukamfuata mtu usie mjua katika watu kumi lazima atatokea msamalia mwema mmoja atakupa nauli....l.e Last weekend nilikua kigamboni nikafuatwa na kijana Simfaham na hata sikumbuki sura yake now akaniomba nauli anaenda mbezi siku muoji Wala nini Nika mpa buku mbili...akani shukuru akasepa🤠🤠
Pia hata ukiwa na NJAA unaweza ukatumia hio hio njia ukapata chakula 😊😊
Pia hata kama hauna pa kulala unaweza tumia njia hio hio ukapata pakulala🌝🌝
Ila usitegemee kuvipata Bure (free) nilivyo vitaja hapo juu ukiwa KENYA..

Tusileteane ligi ndugu Kwa vitu ambavyo ni dhahir shahir wametuzid... Tujifunze kuukubali ukwel mchungu Kwenye vitu ambavyo wametuzid tukubali...pia hata sisi Kuna vitu tunawazid wakubali🤓🤓
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Hiyo mitaa hao sio wamalawi kweli? Wanaijeria wnapenda sana kuhang out masaki na oysterbay
Acha kukariri bro
Wanaija wako huku kibao na tunachonga nao mm sio punguan kuweka Uzi huu
Ndg zako wanaokuja dar wanakudangany kwamba masak na oystby n sehem za Bata kwa taarfa yako hizo n sehem zenye washua weng tu na sio sehem za Bata kama unavyodanganywa
Anyway karibu dar ujionee mwnyw
 
Nikaishi mara ngap? Ndio maana nikamwambia punguza mchecheto na mihemko🤣🤣😂😂

Hapa bongo ni mara nyingi unaweza uka mess up naul ukamfuata mtu usie mjua katika watu kumi lazima atatokea msamalia mwema mmoja atakupa nauli....l.e Last weekend nilikua kigamboni nikafuatwa na kijana Simfaham na hata sikumbuki sura yake now akaniomba nauli anaenda mbezi siku muoji Wala nini Nika mpa buku mbili...akani shukuru akasepa🤠🤠
Pia hata ukiwa na NJAA unaweza ukatumia hio hio njia ukapata chakula 😊😊
Pia hata kama hauna pa kulala unaweza tumia njia hio hio ukapata pakulala🌝🌝
Ila usitegemee kuvipata Bure (free) nilivyo vitaja hapo juu ukiwa KENYA..

Tusileteane ligi ndugu Kwa vitu ambavyo ni dhahir shahir wametuzid... Tujifunze kuukubali ukwel mchungu Kwenye vitu ambavyo wametuzid tukubali...pia hata sisi Kuna vitu tunawazid wakubali🤓🤓
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Unajua tofauti ya economic growth na economic welfare!?..china economic growth ni kubwa kuliko uingereza lakini economic welfare ni kinyume chake,uchumi wa Kenya upo kwa wachache mzee wengi ni shida,Nigeria Ina uchumi mkubwa kuliko south Africa lakini south Africa,Algeria economic welfare iko poa kuliko Nigeria..sijui unaelewa!?...mwigulu aliposema uchumi waachiwe wenye taaluma ya uchumi wajadili alibezwa
 
Sito kujibu tena for sure maana wew ni wa kupuuzwa....
Unacho, tunacho bishania sikioni so nilikwambia mara kadhaa soma hii thread tangu nilipo Anza kuchangia hujafanya ivyo MR. SARCASTIC

Huo uchumi unao jimwambafy kuujua sisi wengine tumeusoma tena kwenye shule ya vipaji maalum 😂😂🤣🤣
Huko university na degree mbili zote zipo kabatini...

Kaka angu Toxic Concotion hapa jukwaani aliwai nambia "Never argue with a fool; onlookers may not be able to tell the difference" ☺️☺️🤓🤓

Wasalaam.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Back
Top Bottom