cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nimekumbuka shost angu alipigwa hivi hivi.Hawa ndio matajiri wa dada zetu,ukiona viduka vya hawa dada zetu wa mijini nyuma yao kuna Wanaija na Wakongo, wanaingia na gia za kuoa au uchumba lakini nia yao ni kupata vibali na mteremko wa kufanya biashara zao za sembe nambari wani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]