Hivi una habari maparachichi yao mengi wanayo export wanayatoa Tanzania?
Mimi hao wakenya nawafahamu kila kona.
Ni watu waongo waongo wanaopenda kupika data ili waonekane wapo vizuri kumbe hakuna kitu.
Hivi unafahamu kuwa bado wanapokea misaada ya chakula karne hii?
Kwa hio kuyatoa tanzania ndio ishu kubwa kuliko kuya export? tungekuwa tuna akili si tunge export wenyewe.
Korosho wahindi walipo jitoa si zilituozea mpaka leo soko limeyumba.
Ndugu kuloma si ujanja bali ujanja ni ku process na ki export.
Japan hawana mashba ola ni nchi tajiri kuliko sisi wenye mashamba makubwa.
We have to learn how to do business loke Kenyans, they are ahead of us in EA zone
Tatizo ni moja huo mfumo mwalimu anayekufundisha ndie pekee anayeku access kuwa wewe umefaulu Hakuna external examiner wa kuthibitisha kuwa uko vizuri.
Mwalimu mvivu anaweza hata asifundishe akakupa marks za bure
Mitihani ya kitaifa lengo ni kuthibitisha Kama external examiner kuwa mwalimu kafanya kazi sawasawa na mwanafunzi je yukoje kiakili?
Huo mfumo wa Kenya mbovu sababu unamwondoa external examiner kwa hiyo kunakuwa Hakuna external examiner wa kuthibitisha ubora wa aluchofundisha mwalimu na ubora wa mwanafunzi
Mkuu utafundishwa na mwalimu mmoja toka la kwnza hadi chuo?
Mbona hawa wa mfumo wa sasa wanavujisha mitihani hilo haulioni.
Huwezi zuia mabadiroko kisa mwalimu mvivu.
Ulaya wana home school kitambo wewe bado unaamini mifumo ile ya kale tu huku aliekurithisha hoo ilimu ashaboresha.
Sio mda maroboti yataanza kufanya kazi sisi bado tunaamini yale ya kale.
Unautetea huu mfumo swali,
Umetusaidia nini tangu tupate uhuru wakati barabara wanajenga wachina ?
Mfumo huu haujawezesha kugundua teknolojia yoyoye ya mana inayoitambulisha TZ kuwa ina mfumo mzuri wa elimu. Kwa hio hata tukilivunja hili limfumo hskuna hasara yoyote tutayopata ni woga usio na maana.
Ni sawa na mtu kuhofia kupoteza mtaji huku hana hik mtaji au wale wanaohofia kuindoa ccm madarakani hatutaendelea huku ccm yenyewe haileti maendeleo sawa na nchi zingine.
Wazungu wame take risk leo wapo mbali sisi woga wa nini.