Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Hapa siko kuangalia upande wala siongei kwa kufuata mkumbo wa vyama.Hao maprofesa wengine wamesoma huko huko kwenye elimu bora.
Muhimu ni kujenga utamaduni wa FIKRA.
Hao kina Kabudi, Ndalichako, Mkumbo siyo vilaza kuliko Mnyika, Sugu, Msigwa.
Ila taifa letu sasa hivi limegubikwa na wimbi zito la ushabiki usio na maana yeyote.
Hata wewe sasa hivi let's say ukianza harakati za kutukana serikali au hata Rais utapataashabiki mpaka mwenyewe utashangaa
Mimi inanisikitisha mtu ni profesa kapewa wizara halafu hakuna analofanya kuhakikisha elimu inakuwa bora. Mimi naona kama elimu yetu inazidi kuwa mbovu kuliko hata ilivyokuwa miaka ya nyuma.