Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

... ni mwehu tu mwenye ujasiri wa kuachana na Kiingereza akatumia Kiswahili kwenye elimu kwa dunia ya leo! Rwanda na Mozambique walikuwa wanafikiria kutumia English kwenye mitaala yao; sina hakika walishafikia hatua gani ya transition.
RWANDA tayari wameshaanza huu mwaka wa 5 ni mwendo wa English mwanzo mwisho ambao bado wanasuasua ni Burundi
 
Majibu ya swali hilo naomba yajibiwe na wizara ya elimu.
Wewe umeshindwa kujibu, ngoja nikusaidie tatizo ni lugha inayotumika hawaijui. Hivyo inawapelekea kutokuelewa kinachofundishwa, na kutokana na kwamba muda unakua ni mfupi inabidi wakariri kitu kama kilivyo ili waokoe muda.
 
RWANDA tayari wameshaanza huu mwaka wa 5 ni mwendo wa English mwanzo mwisho ambao bado wanasuasua ni Burundi
Tatizo sii kitumia kiingereza au kiswahili. Tatizo ni kuchanganya lugha mbili kwenye elimu, huku msingi wa elimu ukiwa umewekwa kwa kiswahili alafu kwenye paa ni kiingereza. Hapo huwezi kuzalisha mtaalam.
 
Wewe umeshindwa kujibu, ngoja nikusaidie tatizo ni lugha inayotumika hawaijui. Hivyo inawapelekea kutokuelewa kinachofundishwa, na kutokana na kwamba muda unakua ni mfupi inabidi wakariri kitu kama kilivyo ili waokoe muda.
Wanafunzi wa primary wanakua hawajui lugha yao ya kiswahili ndio inabidi walimu wawakaririshe mitihani iliyopita?
 
Mbona hata Tanzania mfumo umebadilika mda tuu, tatizo ni utekelezaji asilimia mia ndo bado. Changamoto nyingine n kukosa miundo mbinu wezeshi, lakin mfumo wa CBC umeanza tumika tangu mwaka jana hukoo.
 
Umeanzia shule Gani gambosh au?
 
Aiseeh namshukuru Mungu wanangu walishazoe huko na ongea yao ya ajabu ila kiukweli wapo smart sana kichwani lakini zaidi ubahili naona wanajifunza mno
Mkuu unaweza tuwekea gharama zao kuanzia msingi mpaka sekondari.
Bonsfsi nafikiria mtoto wangu sekondari nimpeleke kenya au Zambia japokuwa sijui sana mtaala wa zambia. Tadhali weka ada zao.
 
... ni mwehu tu mwenye ujasiri wa kuachana na Kiingereza akatumia Kiswahili kwenye elimu kwa dunia ya leo! Rwanda na Mozambique walikuwa wanafikiria kutumia English kwenye mitaala yao; sina hakika walishafikia hatua gani ya transition.
Tofautisha competence based na kingereza. Umahiri na kingereza ni vitu viwili tofauti. Umahiri unaweza tolewa hata kwa kisukuma.
 
Hapo umeambiwa ukweli mtupu ili kwa sababu umekamatika na uwongo wao huwezi kuamini.

Huwa mnadanganyika sana na hao wakenya.
Hakuna walichoizidi Tanzania zaidi ya janjajanja za kijinga.

Mkuu upo serious? Mi nipo Njombe , hiku nmejielekeza kwenye kilimo cha palachichi. Nilichojifunza ukitoa wazungu na wachina wanaofuatia ku export parachichi ni wakenya, wao walianza hii industry toka 70's Unataka wakuzidi kwenye nini ?
Vitabu vingi vya elulimu ya juu ukiondoa vya wazungu ba Afroka magharibi vinavyobakia maktaba ni vya wakenya.We leta ushahidi tumewazidi nini wakenya mi nimekupa hizo mbili kama haumini ingia maktaba ukatafiti.
 
Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri.

Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani ya Taifa, hivyo kwa walio anza na huu mfumo hawatakuwa na kitu kinaitwa mitihani ya Taifa bali watapimwa mashuleni mwao.

Huu mfumo pamoja na kwamba ni ghari sana lakini ni mfumo mzuri kabisa wa wakati huu, huu mfumo watoto wana fanya Practical zaidi, group work na Group Discusion kuliko kaukaririshwa vitu na Kwa wale wenye watoto wanao soma zile shule za mbele za International School, wanatumia sana huu mifumo pia.

Tanzania bado tunawakaririsha wanafunzi, kuna she moja nilishangaa kukuta Wanafunzi wa Darasa la saba tangu janauary hadi wanahitimu walikuwa wana solve tu past paper, yaank ni mwendo wa past paper mwanzo mwisho, tujiulize mwanafunzi anapata nini kwenye hizo past paper zaidi ya kukariri?

Pia hii mifumo ya mitihani ya Taifa isha pitwa na wakati, na hii ndo inafanya shule zijikite kukaririsha watoto past paper, watoto wanafundishwa kujibu paper na sio kuelewa mambo.

Tuna lag behind.
Vitabi vyenyewe vimejaa makosa mbatianaliyaonyeshaa. Yani sisi tunaishi ishi tu
 
Tatizo sii kitumia kiingereza au kiswahili. Tatizo ni kuchanganya lugha mbili kwenye elimu, huku msingi wa elimu ukiwa umewekwa kwa kiswahili alafu kwenye paa ni kiingereza. Hapo huwezi kuzalisha mtaalam.
India wanatumia kihindi na kingereza ila hawana hayo malalamko.
 
Mungu nijalie nipate mafezwa mwanangu asome international school huu ujinga wa kukariri na kupata tu A ka kigezo Cha akili Mimi kwangu naona Kuna uwalakini
Elimu ni zaidi ya shule. Uwezo wa mtu unaanzia kwenye malezi.

Watu wangapi wamesoma na kurudi hapa Bngo na hawana jipya lolote?

Lundo la watu samesoma huko nje ya nchi na kurudi hapa kuuza iPhone Makumbusho.
 
Vitabi vyenyewe vimejaa makosa mbatianaliyaonyeshaa. Yani sisi tunaishi ishi tu
Kitu pekee kinachowabeba wakenya ni Kiingereza na "survival of the fittest".

Kenya hakuna FREE LUNCH. Ni kupambana ili ULE. Kenya unazaliwa hnakuta nyumbani hakuna hata kipande cha ardhi.

Tanzania hakuna ugumu huo.

Na ndio maana watu wanalalamika Bongo maisha magumu ila hawahami kama ilivyo Kenya na Nigeria.
 
Inabidi tupambane watu wanasoma lakini elimu haisaidii kwasababu ni mbovu
 
Inabidi tupambane watu wanasoma lakini elimu haisaidii kwasababu ni mbovu
Ubovu wa Elimu ni kitu relative.

Hata Elimu ya Marekani inalaumiwa. Hadi kina Elon Musk wameanzisha shule za watoto wao nyumbani.

Muhimu ni kujua kuwa vyeti siyo mwisho wa elimu .
 
Ubovu wa Elimu ni kitu relative.

Hata Elimu ya Marekani inalaumiwa. Hadi kina Elon Musk wameanzisha shule za watoto wao nyumbani.

Muhimu ni kujua kuwa vyeti siyo mwisho wa elimu .
Yah lakini atleast unaona elimu ya Marekani ilivyofanya kwa taifa hadi watu wa mataifa mengine walikuwa wanatuma watoto wakapate hiyo elimu warudi nyumbani kukuza uchumi.
Sisi mtu ni profesa halafu hata lugha aliyotumia kupata huo uprofesa inamletea shida
 
Mtoa mada punguza spidi naona unakuja resi sana!

Hapa ndo Kwanza tunaongeza madarasa 15000 tukisaidiana na wazazi waliojitolea kuchimba misingi ....

Huo mfumo tukiupachika hapa hakiyanani nakwambia watoto watauza visheti na sambusa za walimu mpaka ujute, si unataka COMPETENCE based! Hizi ndo prac zenyewe sasa.

Huu mfumo utakivunja kile chama chetu pendwa 'chama cha waalimu'
ambacho kwa mwezi mmoja tu kinakusanya michango kutoka kwenye mishara ya waalimu shilingi bilioni 2 mpaka 3! Naona una utani na CCM wewe.

Mama kashasema hii project ya 'hela za kupambana na Covid 1.3 trilioni' lazima ifanikiwe ili 'tupewe' mkopo mwingine, wewe unakuja na mambo ya CBC ndugu yangu mbona unatutoa kwenye reli?

Mfumo huu utavunjilia mbali ile taasisi ya necta inayoongozwa na dokita chazi msonde, kwa maana hio utakua 'umeua' biashara ya elimu!!!

Utanisamehe kwa mpangilio mbovu, nimeghadhabika!
Ujumbe: tuachie elimu yetu!

Ebu tumsikilize gersoni msigwa hapa tbc akitoa mrejesho wa serekeli
 
Yah lakini atleast unaona elimu ya Marekani ilivyofanya kwa taifa hadi watu wa mataifa mengine walikuwa wanatuma watoto wakapate hiyo elimu warudi nyumbani kukuza uchumi.
Sisi mtu ni profesa halafu hata lugha aliyotumia kupata huo uprofesa inamletea shida
Hao maprofesa wengine wamesoma huko huko kwenye elimu bora.

Muhimu ni kujenga utamaduni wa FIKRA.

Hao kina Kabudi, Ndalichako, Mkumbo siyo vilaza kuliko Mnyika, Sugu, Msigwa.

Ila taifa letu sasa hivi limegubikwa na wimbi zito la ushabiki usio na maana yeyote.

Hata wewe sasa hivi let's say ukianza harakati za kutukana serikali au hata Rais utapataashabiki mpaka mwenyewe utashangaa
 
Back
Top Bottom