ILISACHA
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 2,184
- 4,030
Mbona hakuna cha ajabu hapo,hizo study tour zipo siku zote tena mashule kibao tu hapa hapa Bongo, au unadhani hiyo mitaala kwa hapa Bongo hakuna? Sema hivi,uwezo wa ku afford School fees kwa shule za hiyo mitaala ndiyo mtihani lakini Shule zipo tena nyingi tu,wewe tu na Wallet yako,ukitaka hata wawe wanaongea ile English kama ya kwa Malikia zipo pia,nenda pale Braeburn,HOPAC,ISM,IST na nyingine nyingi tu zipo hapa hapa Bongo.
Hapo Kwenye wallet ndo shida bongo na aina ya shule ulotaja.
Mi Kenya hata million haifiki kwa mtoto 1 na wapo boarding na shule si hizo ulotaja ni za kawaida kabisa.
Sema huku kwetu Ccm inatambua ikisimamia elimu ipasavyo watu wataamka watajitambua ndo maana huko haipagusi ng’o