Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

Elimu bila mitihani hiyo sio elimu hata mara moja. Marekani, Uk, Norway kote wanafanya mitihani na bado ukitaka kwenda nje ya nchi kusoma wanataka tena ufanye mtihani wao wa kiingereza ili kukupima huku marekani ndio unafanya na pepa la hesabu. Msije mkadanganywa ninyi elimu bila mitihani sio elimu.
Hakuna Mtihani wa Taifa, mitihani iko levo za shule, umeelewa? Mbona iko Mataiga mengi? Kilicho futwa ni mtihani wa Taifa
 
Elimu bila mitihani hiyo sio elimu hata mara moja. Marekani, Uk, Norway kote wanafanya mitihani na bado ukitaka kwenda nje ya nchi kusoma wanataka tena ufanye mtihani wao wa kiingereza ili kukupima huku marekani ndio unafanya na pepa la hesabu. Msije mkadanganywa ninyi elimu bila mitihani sio elimu.
Nyie ndo hiwa mnashanhilia watoto wenu kuwa wa kwanza Darasani wakati unaona kabisa mtoto ni zero kichwani. Kenya swala la kuwapima watoto limeachwa kwenye mashule husika make walw ndo wako na wanafunzi wanawajua na sio mambo eti mtihani wa Taifa.
 
Kenya wameona mbali sana ni kwa bahati mbaya sisi tumelala usingizi na hakuna anaye jali wala kushituka
Hii mada imeshajadiliwa sana kwenye formal platforms

We are using competency based curriculum… Tatizo ni ufundishaji

But on paper inaonekana tuko Kwenye CBC

Niwaombe vijana wengi humu… kama tunataka kujifunza, basi tuwe tunauliza

Tusikie na majibu yetu mfukoni na kujiaminisha kwamba tuko sahihi

Tutazidi kuwa wajinga and backward
 
Mkuu tupo CBC kwenye makaratasi ila kiuhalisia hatupo huko. CBC inahitaji pesa nyingi sana kitu ambacho kwa serikali yetu bado sana.
 
Mkuu tupo CBC kwenye makaratasi ila kiuhalisia hatupo huko. CBC inahitaji pesa nyingi sana kitu ambacho kwa serikali yetu bado sana.
Hata wa kenya hihi system inawashinda they are not as competent as mnavo fikiria, waKenya wengi mkazo wao uko kwenye lugha na kupata minimum basic skills za ku ajiriwa tu......elimu ya Tz sio mbaya kivile kwa wale wanao weza kichaguwa shule nzuri na kumudu ada zao.
 
Hata wa kenya hihi system inawashinda there not as competent as mnavo fikiria, waKenya wengi mkazo wao uko kwenye lugha na kupata minimum basic skills za ku ajiriwa tu......elimu ya Tz sio mbaya kivile kwa wale wanao weza kichaguwa shule nzuri na kumudu ada zao.
Wakenya sio competent ? Kakuambia nani ? Angalia mashirika mengi ya kimataifa, hesabu wakenya halafu hesabu na watanzania halafu urudi hapa utuambie wengi ni kina nani na kwa nini
 
Mfumo bora wa Elimu unapatikana Finland. Ukitaka kuuelewa fuatilia wana mfumo upi wa elimu utaona wapo tofauti.

1.Watoto wanatakiwa kuenda shule saa tatu. Ili kupata muda wa kulala wanasema mtoto anatakiwa kulala ili ubongo wake uweze kudevelope vizuri maeneo muhimu.

2. Darasa moja lina walimu zaidi ya m'moja. Yaani instructor ni m'moja wengine wanasimamia tu kuelekeza watoto namna ya kufanya tasks na kuwasikiliza.

3. Hakuna mitihani , ni mwendo wa assignments tu na class activities na group works no individual tests au assignments. Wana encourage zaidi team work na sio individual capabilities.

4. Mkao ni mduara kama meza za bar na sio kama huu mkao tunaokaa.

5. Walimu primary minimum qualifications ni Masters ya elimu ya msingi. Si mchezo yaani.

Mengine mengi sijayasema hapa ........ Wapo vema.
 
Wakenya sio competent ? Kakuambia nani ? Angalia mashirika mengi ya kimataifa, hesabu wakenya halafu hesabu na watanzania halafu urudi hapa utuambie wengi ni kina nani na kwa nini
Hapo umeambiwa ukweli mtupu ili kwa sababu umekamatika na uwongo wao huwezi kuamini.

Huwa mnadanganyika sana na hao wakenya.
Hakuna walichoizidi Tanzania zaidi ya janjajanja za kijinga.

Naona akili yako inawaza wanaume tu. Sasa hapo wanaume tunaingiaje?
Una tatizo wewe angalia content niliyoandika sio ku pick jambo moja na kubadili maana yangu, pia wewe ni nani unipangie Cha kuwaza, hafu hyo ya wanaume kuwawaza kichwani mwangu umejuaje?
Mwanaume kiherehere ka mke wa balozi na chupi mpya
 
Wabongo pamoja jitihada za kukaririshwa hizo past papers bado wanafunzi kibao wa form one hawajui kusoma wala kuandika.
Tatizo wengi munao andika na kuponda elimu na wanafunzi wa Tz hamjawahi kuenda kenya, au ku ishi na wa Kenya mna waona tu hao wanao kuja hapa kwetu kutafuta Green pasture,........ wanacho tuzidi sanaa Tz, ni kuweka kiingereza kupaumbele ila pia pamoja na hilo kuna wakenya zaidi ya 60% wanao maliza darasa la 8 hawawezi kuongea na kuandika kiingereza fasaha, na kiswahili ndo hivo, njooni Kenya hutaitamani kabisa.......ni ubabaishaji utupu.
 
Mungu nijalie nipate mafezwa mwanangu asome international school huu ujinga wa kukariri na kupata tu A ka kigezo Cha akili Mimi kwangu naona Kuna uwalakini
Jibu hili swali kwanza.
1. Kwanini wanakariri?
Ukipata jibu utaelewa kwamba shida sio uwepo wa mitihani. Mitihani wanafanya duniani kote na mitihani ya taifa ipo kote duniani.
 
Back
Top Bottom