Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

Hao maprofesa wengine wamesoma huko huko kwenye elimu bora.

Muhimu ni kujenga utamaduni wa FIKRA.

Hao kina Kabudi, Ndalichako, Mkumbo siyo vilaza kuliko Mnyika, Sugu, Msigwa.

Ila taifa letu sasa hivi limegubikwa na wimbi zito la ushabiki usio na maana yeyote.

Hata wewe sasa hivi let's say ukianza harakati za kutukana serikali au hata Rais utapataashabiki mpaka mwenyewe utashangaa
Hapa siko kuangalia upande wala siongei kwa kufuata mkumbo wa vyama.
Mimi inanisikitisha mtu ni profesa kapewa wizara halafu hakuna analofanya kuhakikisha elimu inakuwa bora. Mimi naona kama elimu yetu inazidi kuwa mbovu kuliko hata ilivyokuwa miaka ya nyuma.
 
Mfano, wewe ungekuwa waziri wa Elimu ungeboresha nini kwenye elimu ?
 
Mtaala huo kwa Tanzania haiwezekani kwa sababu unahitaji gharama kubwa.Mf darasa angalau ni lazima lisizidi wanafunzi 40 wakati huku kwetu wanafika mpaka 100 darasa moja.
 
Mtaala huo kwa Tanzania haiwezekani kwa sababu unahitaji gharama kubwa.Mf darasa angalau ni lazima lisizidi wanafunzi 40 wakati huku kwetu wanafika mpaka 100 darasa moja.
Kenya walimu wanalalamikia sana huo mfumo .Hakuna mwalimu aliyeandaliwa kufundisha huo mfumo vyuoni .Walipelekwa seminar tu ya siku tatu wakaambiwa anzeni kufundisha

Mfumo huo una operate kwa sehemu kubwa kwa mfumo wa projects kwa kila mtoto kuwa na project yake almost every week aifanye na mwalimu usome hiyo ripoti yake u discuss na mtoto mmoja mmoja unakuwa Kama supervisor wa dissertation ya kila mwanafunzi.Wanasema kazi ni nyingi na wanachoka mno wakati mishahara haiongezwi

Mwalimu hayuko competent based hajawahi Soma chuo halafu unamtaka afundishe competent based children!!!

Hii kufanikiwa serikali itabidi ianze kuchukua best students division one ndio wawapeleke kusomea huo ualimu sio haya mazuzu yaliyopata division three na four yakaenda ualimu ambayo Sasa hivi yanafanya kazi za ualimu na uofisa elimu

Walimu kwanza wanatakiwa kupikwa vyuoni kwanza tusikurupuke Kama wakenya
 
Tajiri namba moja duniani kwa sasa
Elon musk amesema watoto wake hatawapeleka shule ila watajifunza kupitia you tube.

Elimu ya darasani inapoteza muda
 
Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri.

Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani ya Taifa, hivyo kwa walio anza na huu mfumo hawatakuwa na kitu kinaitwa mitihani ya Taifa bali watapimwa mashuleni mwao.

Huu mfumo pamoja na kwamba ni ghari sana lakini ni mfumo mzuri kabisa wa wakati huu, huu mfumo watoto wana fanya Practical zaidi, group work na Group Discusion kuliko kaukaririshwa vitu na Kwa wale wenye watoto wanao soma zile shule za mbele za International School, wanatumia sana huu mifumo pia.

Tanzania bado tunawakaririsha wanafunzi, kuna she moja nilishangaa kukuta Wanafunzi wa Darasa la saba tangu janauary hadi wanahitimu walikuwa wana solve tu past paper, yaank ni mwendo wa past paper mwanzo mwisho, tujiulize mwanafunzi anapata nini kwenye hizo past paper zaidi ya kukariri?

Pia hii mifumo ya mitihani ya Taifa isha pitwa na wakati, na hii ndo inafanya shule zijikite kukaririsha watoto past paper, watoto wanafundishwa kujibu paper na sio kuelewa mambo.

Tuna lag behind.
Sisi tushaanza siku nyingi
Soma syllabus utaona
Tatizo ni utekelezaji tu
 
Naunga huu mfumo wa elimu wa competency based ni mzuri na muhimu na unafundisha kufikiria nje ya box mwanaume asipimwe tu kwa kigezo kimoja Cha ufaulu na ku ignore mambo mengine
Hata mitaala ya elimu yetu ni competency based tatizo utekelezaji kwa sababu unahitaji zana za kufundishia
 
Una tatizo wewe angalia content niliyoandika sio ku pick jambo moja na kubadili maana yangu, pia wewe ni nani unipangie Cha kuwaza, hafu hyo ya wanaume kuwawaza kichwani mwangu umejuaje?
Mwanaume kiherehere ka mke wa balozi na chupi mpya
Fungua pm au panua pm niingie
 
Jibu hili swali kwanza.
1. Kwanini wanakariri?
Ukipata jibu utaelewa kwamba shida sio uwepo wa mitihani. Mitihani wanafanya duniani kote na mitihani ya taifa ipo kote duniani.
Na mitihani ndio inafanywa ila isibase kwenye theory tu inabidi iwe based competency with purpose of solving problem in our society sio ku crame theory za uchumi zilizotumika kwa US na ku sahau mambo ya uchumi yanayoendana na mazingira na nature. Yani mtihani ilenge ku solve matatizo kwenye jamii ndio hivo competency based
 
Elimu ni zaidi ya shule. Uwezo wa mtu unaanzia kwenye malezi.

Watu wangapi wamesoma na kurudi hapa Bngo na hawana jipya lolote?

Lundo la watu samesoma huko nje ya nchi na kurudi hapa kuuza iPhone Makumbusho.
Yani katoka nje karudi mtupu?
Kwa taarifa yako sio wote wa huko nje huenda kusoma aisee. Wengi tu wameenda nje na kurudi na wamefanya makubwa
 
Kenya wameisha anza mfumo wao mpya wa elimu wa CBC yaani Competency Based Curriculum, huu mfumo unachukua nafasi ya mfumo ulio kuwepo ambao ni sawa tu na wetu kwa sasa, mfumo wa Mwalimu kuingia na chaki na kuanza kuandika na watoto kuandika au kukariri.

Huu mfumo wao mpya unafuta pia mitihani ya Taifa, hivyo kwa walio anza na huu mfumo hawatakuwa na kitu kinaitwa mitihani ya Taifa bali watapimwa mashuleni mwao.

Huu mfumo pamoja na kwamba ni ghari sana lakini ni mfumo mzuri kabisa wa wakati huu, huu mfumo watoto wana fanya Practical zaidi, group work na Group Discusion kuliko kaukaririshwa vitu na Kwa wale wenye watoto wanao soma zile shule za mbele za International School, wanatumia sana huu mifumo pia.

Tanzania bado tunawakaririsha wanafunzi, kuna she moja nilishangaa kukuta Wanafunzi wa Darasa la saba tangu janauary hadi wanahitimu walikuwa wana solve tu past paper, yaank ni mwendo wa past paper mwanzo mwisho, tujiulize mwanafunzi anapata nini kwenye hizo past paper zaidi ya kukariri?

Pia hii mifumo ya mitihani ya Taifa isha pitwa na wakati, na hii ndo inafanya shule zijikite kukaririsha watoto past paper, watoto wanafundishwa kujibu paper na sio kuelewa mambo.

Tuna lag behind.

Kenya wako mbali sana
Nan ana Mawazo hayo Ma Prof, Dr ni hovyo unakuta jitu ni liprof lakini lipo Unga

Ndalichako sijui Uwaziri umemshinda siku hizi wala aangaiki yupo ofisini anakunywa kahawa na korosho
 
Na wanaenda kuondoa class 7 & 8
Basi wanangu wanapenda kutembea sijui ndo study tour yaani kuna muda naona uzungu utakuja uwapoteze wanangu na wanankera sana hasa kunikosoa na 7 langu
La 7 lakini umefanikiwa kukamata mifweza na kuwapiga gap nene Master's, Phd's na Professor's.

Mdahalo/Debate: "Elimu ni Bora kuliko Pesa"
 
Mkuu upo serious? Mi nipo Njombe , hiku nmejielekeza kwenye kilimo cha palachichi. Nilichojifunza ukitoa wazungu na wachina wanaofuatia ku export parachichi ni wakenya, wao walianza hii industry toka 70's Unataka wakuzidi kwenye nini ?
Vitabu vingi vya elulimu ya juu ukiondoa vya wazungu ba Afroka magharibi vinavyobakia maktaba ni vya wakenya.We leta ushahidi tumewazidi nini wakenya mi nimekupa hizo mbili kama haumini ingia maktaba ukatafiti.
Hivi una habari maparachichi yao mengi wanayo export wanayatoa Tanzania?

Mimi hao wakenya nawafahamu kila kona.
Ni watu waongo waongo wanaopenda kupika data ili waonekane wapo vizuri kumbe hakuna kitu.

Hivi unafahamu kuwa bado wanapokea misaada ya chakula karne hii?
 
Mitaala yetu ya ovyo na yenye kukakarisha wanafunzi ndiyo iliyotufikisha hapa. Badala ya wanasiasa kushughulikia matatizo ya elimu, wanashughulikia matumbo yao mapana yasiyojaa.
 
Hivi una habari maparachichi yao mengi wanayo export wanayatoa Tanzania?

Mimi hao wakenya nawafahamu kila kona.
Ni watu waongo waongo wanaopenda kupika data ili waonekane wapo vizuri kumbe hakuna kitu.

Hivi unafahamu kuwa bado wanapokea misaada ya chakula karne hii?
Mkuu acha ubishi uchwara. Wakenya wapo vizuri kila idara huwezi kuwafananisha na watanzania vilaza.
 
Back
Top Bottom