MTAALA MPYA WA ELIMU: Kilio kipya kwa watoto wa maskini na janga la kizazi chao chote!

Mtaala mpya upo kwenye mkwamo sio mchezo, mazingira changamoto, walimu changamoto, wazazi nao changamoto.

Huku kwetu watoto wanasoma masomo yote kumi etii watachagua wakifika f3 yaani hakuna kinachoeleweka.
 
Huo ndio mtaala wa kuwaweka watanzania katika mazingira ya kutawaliwa mpaka Yesu atakapo rudi,mtaala wa CCM na familia zao hauko hivyo wao wanamtaala wao wakufundisha familia zao namna ya kuwatawala watanzania milele na milele ndio maana kuna mtu anashangilia kuajiliwa walimu elfu8 na wenyewe hao walioajiliwa ni watoto wao,wakati mtaani kuna malaki ya watoto wa mtaala mpya hawana ajira.
 
Hujui chochote wewe...Sisi ndio watekelezaji wa huo mtaala. hakuna vitabu, walimu wa masomo muhimu kama biashara pia walimu wakuu hawana vigezo vya kutumia kuchagua wanafunzi hivyo wanasema wanafunzi wasome masomo tisa watachagua f3, hivi ndio sera mpya inavyosema.
 
Una haki ya kutoa mawazo yako, lakini kwa ground shule nyingi zinaendelea na mfumo wa mtaala wa zamani, kuna watoto wana interest na kilimo,ufugaji, muziki, ufundi n.k lakini shule wanazosoma haziwapi fursa ya kusoma wanavyopenda, shule nyingi zinaendelea kufundisha masomo yote kwa utaratibu ule ule wa zamaniiiii! Tutafika?
 
Hakika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…