Fungamikeka
New Member
- Jan 26, 2025
- 3
- 0
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaala mpya upo kwenye mkwamo sio mchezo, mazingira changamoto, walimu changamoto, wazazi nao changamoto.Nimefanikiwa kuupitia muongozo wa mtaala mpya wa elimu hapa Tanzania ambao umezinduliwa hivi karibuni, na hichi ndicho nilichoweza kukiona kwa jicho la upeo.
1. Kwa mfumo wa elimu yetu kwa shule za serikali hauwezi kutekelezeka.
2. Hauna kipimo chochote MADHUBUTI cha kumpima mwanafunzi kila mara wakati akipewa elimu hiyo ama kupima ufanisi wa mwalimu wake wakati akitoa elimu hiyo mpaka mwanafunzi atakapohitimu miaka 10 ijayo.
3. Hakuna maandalizi yoyote kabambe yaliyofanywa kuweza kuubeba kikamilifu huu mtaala mpya. Kuanzia vyuo, waalimu, maafisa elimu, miundo mbinu, vitendea kazi na mazingira havikuandaliwa vyema kuweka kuubeba huu mfumo.
Kwa mtaala huu mpya, upo uwezekano kwa 100% kwa mtoto yoyote anayesoma shule ya serikali akaanza darasa la awali mpaka akahitimu kidato cha nne hajui kusoma, kuandika au kuhesabu. Kwanini? Mtaala umeweka wazi kabisa kuwa, mtoto yoyote anayeandikishwa shule hapaswi kufeli wala kurudia darasa (hata kama hajui chochote) mpaka atakapohitimu kidato cha nne!
Hujui chochote wewe...Sisi ndio watekelezaji wa huo mtaala. hakuna vitabu, walimu wa masomo muhimu kama biashara pia walimu wakuu hawana vigezo vya kutumia kuchagua wanafunzi hivyo wanasema wanafunzi wasome masomo tisa watachagua f3, hivi ndio sera mpya inavyosema.Umekurupuka kwa uchambuzi wa mchongo.
1. Mtaala upo vizuri
2. Maandalizi yapo vizuri
3. Walimu wapo vizuri
4. Wanafunzi wapo vizuri
5. Wazazi wapo vizuri.
Muda wa kuutathmini ni mpaka zao la mzunguko wa kwanza ukamilike tutajua ubora na udhaifu.
Palikuwa na upungufu wa Walimu, ndio hao mchakato wa ajira 8000 upo ukingoni.
Madarasa ya covid yapo tayari na shule zimeongezwa, vitabu na vifaa vipo. Acha roho mbaya kuwa na shukrani kwa serikali yako
Una haki ya kutoa mawazo yako, lakini kwa ground shule nyingi zinaendelea na mfumo wa mtaala wa zamani, kuna watoto wana interest na kilimo,ufugaji, muziki, ufundi n.k lakini shule wanazosoma haziwapi fursa ya kusoma wanavyopenda, shule nyingi zinaendelea kufundisha masomo yote kwa utaratibu ule ule wa zamaniiiii! Tutafika?Umekurupuka kwa uchambuzi wa mchongo.
1. Mtaala upo vizuri
2. Maandalizi yapo vizuri
3. Walimu wapo vizuri
4. Wanafunzi wapo vizuri
5. Wazazi wapo vizuri.
Muda wa kuutathmini ni mpaka zao la mzunguko wa kwanza ukamilike tutajua ubora na udhaifu.
Palikuwa na upungufu wa Walimu, ndio hao mchakato wa ajira 8000 upo ukingoni.
Madarasa ya covid yapo tayari na shule zimeongezwa, vitabu na vifaa vipo. Acha roho mbaya kuwa na shukrani kwa serikali yako
Hakika....Una haki ya kutoa mawazo yako, lakini kwa ground shule nyingi zinaendelea na mfumo wa mtaala wa zamani, kuna watoto wana interest na kilimo,ufugaji, muziki, ufundi n.k lakini shule wanazosoma haziwapi fursa ya kusoma wanavyopenda, shule nyingi zinaendelea kufundisha masomo yote kwa utaratibu ule ule wa zamaniiiii! Tutafika?