Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu yetu bado mkuu. Inabidi tuiboreshe kwanzaKuwezekana inawezekana. Kwamba tutaamua kuanza au la ndio swali la msingi!
Kuna binadamu anaweza kuishi bila hesabu ? Hesabu is the building block ya kila somo au kila kitu katika maisha yetu, mathematics inasaidia thinking na logic huwezi fananisha na coding...,Kusoma coding iwe ni lazima kama ilivyo hesabu. Specialization mbele huko. Coding kwa sasa ni sehemu ya maisha. Hizo program unazozisema ni too advanced for kids!
Kwenye age ya information technology, Computer is a basic foundation. Sio kama kipindi chetu.Narudia huku chini lets stick to the basics..., ila interested parties wanaweza kujifunza wakati wowote (self taught inatenga the average from the absolute brilliant)
Lawama zote kwa kijani hata usiende mbali..hawa jamaa wameinajisi nchi hii kwa kiwango kikubwa..mbaya zaidi wamegeuka fisi kwenye mnofu.Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding.
Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi.
Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia ndo inazidi kuharibika.
Zichaguliwe shule kama 10 za majaribio.Why do you think it's not possible for primary?
From standard 4 onwards should be possible
Std 4 - Basics of Computers
Std 5- Basics of Python Language
Std 6 - writing Simple programs solving mathematical problems and related problems in console apps
Std 7 - Writing UIs and Simple Games with Python
It is very possible. But two things need to be done beforehand. 1. Programming teachers must be found or trained. There are many ways to solve this in our context and 2. We need computers and power. Again there are many ways to solve this.
We can start with select schools and expand. PPP is crucial here!
Kama nchi bado hatujakidhi idadi ya coders, bado tuko wachache na soko linazidi kuongezeka kadiri jamii inaendelea kukumbatia teknolojia.
Watu wanadiscuss points za msingi, wewe umekalia kuweka ma-comment yako ya kiduwanzi!Tuanze na lile somo la historia la Kiswahili ili watoto wajue jinsi mabeberu walivyowalaghai mababu zetu na kuiba madini🐒
Hauwezi kujua unapoenda usipojua ulipotoka🐒Watu wanadiscuss points za msingi, wewe umekalia kuweka ma-comment yako ya kiduwanzi!
Mkuu sio lazima wawe coders wakijua basics unaweza hata wahamishia kwenye UX. Kuna mdada humu kamuintroduce mwanae kwenye UX, anaipenda sana na yuko form 1 nadhani baadae atakuja kuwa mzuri kwenye hayo mambo ukizingatia anapenda sana mambo ya art marangi rangi na graphics kwa ujumlaKama nchi bado hatujakidhi idadi ya coders, bado tuko wachache na soko linazidi kuongezeka kadiri jamii inaendelea kukumbatia teknolojia.
Sio kila mmoja atakua coder hatimaye, ila watakaokubali kuendelea hadi mwisho watanufaika, kwangu nina watoto wanne, mmoja ndiye ana utashi wa coding, kutwa yupo w3school anapambana japo pia huwa namsaidia, ila wengine imekua kama nawapush tu hawaitaki.
Nachojua kuna wengi wataikumbatia kama ikifanywa lazima shuleni. Itafanywa kuwa kama somo lingine lolote.
Mkuu mazingira matters sana, mimi nina mtoto ana miaka saba now, ana idea almost ya kila software anayoona naitumia kuanzia office, photoshop, illustrator, aegisub, trados studio, reaper, na mengine coz kakua anayaona na mimi simzuii kuchezea vitu vyangu japo kuna muda uwa anavivuruga lakini anapenda.M nadhani in general computer science ingeanza kufundishwa kuanzia level ya chini,wale ambao watakuwa wanainterest nayo wataendelea in advance.
Kwa hio walioweka msamiati wa low iq,high iq na normal ni wajinga ola wewe ndio mjuzi ?Hakuna mtoto kilaza shuleni. Kuna watoto wenye uwezo tofauti wa kuelewa. Tatizo ni mwalimu kuwa na wanafunzi wengi, ukosefu wa vifaa na mengine ambayo sote tunayajua.
Hata historia huwa wanafeli. Siamini kama watoto wa mikoa ya kusini ni vilaza. Ila kuna shida kule inahitaji kutatuliwa.
Hata hii computer inabidi ifanyiwe maandalizi au la itageuka kuwa laana na mzigo kwa watoto.
Tatizo sio somo, tatizo kuna masomo yanahitaji vitu kadhaa kama prerequisites ili mambo yaende.
Aliekwambia mashuleni kuna shida ya vitabu nani? Kuna sekondari Abbot zinapigwa vumbi tu hazina wasomaji. Msingi kuna vitabu lundo labda kama wanafunzi wamechana ola shule zinapelekewa vitabu vya kutosha.Hawafaulu kwa sababu ya matatizo ambayo tunayajua. Waalimu, vitabu nk