Mtangoo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 6,167
- 5,613
Basi hujui maana ya hiyo Computer Programming na upana wake. Maana kama ulivyoelezea kwenye hesabu ndivyo na hiyo ilivyo!Hesabu sio specialization. Hesabu ni kati ya basics. Hesabu ni pana saaanaaa haiwezi kuwa specialization. Au haujui maana ya specialization? Hesabu inazaa branches nyingi ambazo ndio zinakuwa specialization. Hata coding inaingia kidogo kwenye hesabu.
Coding ni specialization ambayo ni branch ya basics mbalimbali kama computer science na ICT ambazo zenyewe ni branches za masomo mengine kama hesabu nk.