Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

Sisi tupo kwenye mjadala mkali wa lugha ipi itumike kufundishia kuanzia shule ya msingi mpaka chuo[emoji1787]
Na n mwaka wa 20 Sasa bado tunajadil swala la lugha

Shame to my govt yaan wenzetu wanenda mbele ss bado tunawaza mambo ya karne ya 18

Hapo bado mjadala wa vaz la taifa nao una miaka na mikaka hatujapata ufumbuzi

TUMELOGWA NA MGANGA KAFA

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aliekwambia mashuleni kuna shida ya vitabu nani? Kuna sekondari Abbot zinapigwa vumbi tu hazina wasomaji. Msingi kuna vitabu lundo labda kama wanafunzi wamechana ola shule zinapelekewa vitabu vya kutosha.
Sawa ticha! Vitabu sio shida! Waalimu wa kutosha. Hakuna shida hata moja...!
 
Sawa ticha wanafunzi wa Bongo wapo vilaza. I hope wewe sio kilaza wala hauko kwenye hao low IQ.
Mimi sijui ticha, wala sina hata ka diploma ka Education!
Nisamehe Ticha!
 
inawezekana hata hapa kwetu, mi japo sikuendelea na maswala ya computer lakini O-level kwenye somo la ICT tulisoma HTML 5 japo ilikua kidogo, na NECTA form four swali lilikuja la HTML lilikuja kwenye prac, vilevile baadhi ya softwares za adobe tulijifunza basics zake na shule ilikua ya serikali,
Pamba secondary, Mwanza.
 
Ni sawa ila watu wanadhani kusoma computer ndio suluhisho la elimu TZ.
Elimu ni dh na pana inayojumuisha mambo mengi. Wanashau engluxh tu inawasumbua hio comp itakuwaje.
 
Ni sawa ila watu wanadhani kusoma computer ndio suluhisho la elimu TZ.
Elimu ni dh na pana inayojumuisha mambo mengi. Wanashau engluxh tu inawasumbua hio comp itakuwaje.
Mkuu English na computer vitu viwil tofauti, kumbuka kujua lugha haimaanishi wewe mwamba.
 
Nina office na computer nawaza kufanya hii kitu niweke watu wakufundisha coding sijui italipa
 
Mhmmm sidhani kama ni wazo zuri hata kidogo kufundisha coding primary school.
 
Mhmmm sidhani kama ni wazo zuri hata kidogo kufundisha coding primary school.
Coders wazuri wengi walianza wakiwa wadogo. Si wanaanza ni basics unajua haya mambo ukikutana nayo ukubwani inakuwa kasheshe
 
Coders wazuri wengi walianza wakiwa wadogo. Si wanaanza ni basics unajua haya mambo ukikutana nayo ukubwani inakuwa kasheshe
Naelewa lakini waanze kufundishwa sekondari. Ni kazi bure kuhangaika na watoto wote wajifunze coding primary. Tutakuwa tunatwanga maji kwenye kinu. Kuna mdau hapo juu katoa maoni kwa ngazi ya primary wawe na clubs na hiyo mambo ya coding iwe extra curricula activity. Kama tunataka coding iingizwe kati mtaala rasmi basi ianzie secondary form 1.
 
Sababu ikiwa ni...?
Coding ni specialization. Specializations hazitakiwi ziwepo kwenye elimu ya msingi (i.e mtaala rasmi kila mtu afundishwe darsani). Inafaa zaidi ziwepo kama extracurricular activities eg. after school clubs nk.
 
Kinachoifanya iwe specialization ukilinganisha na hesabu ni nini?
 
Coders wazuri wengi walianza wakiwa wadogo. Si wanaanza ni basics unajua haya mambo ukikutana nayo ukubwani inakuwa kasheshe

Wengi tunakumbana na coding ukubwani, kwanza mimi sikua najua hata mouse ni kitu gani, monitor yenyewe nilikua nadhani ni TV fulani hivi, ila leo natiririka coding, systems kadhaa ambazo zipo zinatumika.
Muhimu sana kutanguliza coding udogoni.
 
Kinachoifanya iwe specialization ukilinganisha na hesabu ni nini?
Hesabu sio specialization. Hesabu ni kati ya basics. Hesabu ni pana saaanaaa haiwezi kuwa specialization. Au haujui maana ya specialization? Hesabu inazaa branches nyingi ambazo ndio zinakuwa specialization. Hata coding inaingia kidogo kwenye hesabu.
Coding ni specialization ambayo ni branch ya basics mbalimbali kama computer science na ICT ambazo zenyewe ni branches za masomo mengine kama hesabu nk.
 
Wengi tunakumbana na coding ukubwani, kwanza mimi sikua najua hata mouse ni kitu gani, monitor yenyewe nilikua nadhani ni TV fulani hivi, ila leo natiririka coding, systems kadhaa ambazo zipo zinatumika.
Muhimu sana kutanguliza coding udogoni.
Hata mimi naungana na wewe, watu wakijua basics wenye passion nayo wanaendelea nayo watakuwa wazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…