Hesabu sio specialization. Hesabu ni kati ya basics. Hesabu ni pana saaanaaa haiwezi kuwa specialization. Au haujui maana ya specialization? Hesabu inazaa branches nyingi ambazo ndio zinakuwa specialization. Hata coding inaingia kidogo kwenye hesabu.
Coding ni specialization ambayo ni branch ya basics mbalimbali kama computer science na ICT ambazo zenyewe ni branches za masomo mengine kama hesabu nk.
Secondary maybe..., Primary I doubt it..., ila haya mambo watoto wakiwa interested magwiji wengi ni self taught (ukiwa na interest kwenye haya mambo vitu vitajipa tu)