Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Lakini kumbuka zama ulizosoma wewe ni tofauti na zama hiziLeo nimetembela kijijini kama ilivyoada kwa sisi tunaoishi kijamaa basi hupata muda wa kukagua maendeleo ya watoto tunaowakuta hapo nyumbani.
Nimeshangaa sana kuzikuta mada za mtoto wa darasa la tatu ambazo kwa kawaida kabisa wengine tulizisoma kuanzia kidato cha kwanzo.
Kwa umri wa watoto wa darasa la tatu na aina ya masomo wanayopatiwa nadhani yanapaswa kutazamwa upya.
Haya mambo ya majaribio katika elimu yanahatari sana. Nimekumbuka zile habari za kuchanganya fizikia na kemia.
punguza uongo mbwa wwNenda India uone mtoto wa Darasa la nne msingi PCM na PCB yote uliyosoma kidato cha tano na sita mtoto wa Darasa la nne yote iko kichwani
Lakini kumbuka zama ulizosoma wewe ni tofauti na zama hizi
Mabadiliko yapo na yanaendana na teknolojia
Siyo vema kuendelea kufundisha yele uliyosoma wewe miaka mingi huko nyuma
Hata katiba yenyewe tunaona imepitwa na wakati
Kwa nini mitaala isiboreshe iendane na wakati uluopo??
Tafakari........
Peleka mtoto Indian schools hapo Dar tu uone wanasoma nini wao hutumia syllabus ya India sio ya Tanzania. Peleka mwanao pale uone muziki wakepunguza uongo mbwa ww
pcb haiwez somwa darasa la nne acha ujinga....! et darasa la nne aanze kucalculate escape velocity....anasolve matrix darasa la 4 ...aiwezee wap iyo intergration..kadanganye wengnePeleka mtoto Indian schools hapo Dar tu uone wanasoma nini wai hutumia syllabus ya India sio ya Tanzania. Peleka mwanao pale uone muziki wake
Wanasoma kama masomo sio combination yakiwemo mengine ila syllabus yao akikaa na mtoto wa PCB wa Tanzania ngoma drawpcb haiwez somwa darasa la nne acha ujinga....! et darasa la nne aanze kucalculate escape velocity
ngoma drawa ?? stop overrating indian schools.Wanasoma kama masomo sio combination yakiwemo mengine ila syllabus yao akikaa na mtoto wa PCB wa Tanzania ngoma draw
Primary wao fixings,kama na biologia ni masomo yanafundishwa shule ya msingi
Syllabus yao kali sana hayo masomo sababu wao wanasoma madomo ya science and technology primary wanasoma tu sio masomo ya PCB au PCM theoretically only wanasoma na application yake kwenye technology jinsi fizikia,Kemia na biology na applications yake kwenye technology ya kila somo husika ndio maana wana somo linaitwa science and technology. Humo ndani mna PCM na PCB na applications zake Sio ana calculate tu kupata tick tu ya jawabu mwisho wa siku kama elimu zetu ndio maana akikaa na mtoto wa high school wa kwetu wa PCB au PCM kinaweza kitoto cha Indian schools cha primary kikamtoa knock outpcb haiwez somwa darasa la nne acha ujinga....! et darasa la nne aanze kucalculate escape velocity....anasolve matrix darasa la 4 ...aiwezee wap iyo intergration..kadanganye wengne
Unaongea kwa kuona au kusimuliwaSyllabus yao kali sana hayo masomo sababu wao wanasoma madomo ya science and technology primary wanasoma tu sio masomo ya PCB au PCM theoretically only wanasoma na application yake kwenye technology jinsi fizikia,Kemia na biology na applications yake kwenye technology ya kila somo husika ndio maana wana somo linaitwa science and technology. Humo ndani mna PCM na PCB na applications zake Sio ana calculate tu kupata tick tu ya jawabu mwisho wa siku kama elimu zetu ndio maana akikaa na mtoto wa high school wa kwetu wa PCB au PCM kinaweza kitoto cha Indian schools cha primary kikamtoa knock out
Peleka mtoto Indian schools hapo Dar tu uone wanasoma nini wao hutumia syllabus ya India sio ya Tanzania. Peleka mwanao pale uone muziki wake
Unaweza kuprove kauli hii?Syllabus yao kali sana hayo masomo sababu wao wanasoma madomo ya science and technology primary wanasoma tu sio masomo ya PCB au PCM theoretically only wanasoma na application yake kwenye technology jinsi fizikia,Kemia na biology na applications yake kwenye technology ya kila somo husika ndio maana wana somo linaitwa science and technology. Humo ndani mna PCM na PCB na applications zake Sio ana calculate tu kupata tick tu ya jawabu mwisho wa siku kama elimu zetu ndio maana akikaa na mtoto wa high school wa kwetu wa PCB au PCM kinaweza kitoto cha Indian schools cha primary kikamtoa knock out
Mh! Hii ni uongoSyllabus yao kali sana hayo masomo sababu wao wanasoma madomo ya science and technology primary wanasoma tu sio masomo ya PCB au PCM theoretically only wanasoma na application yake kwenye technology jinsi fizikia,Kemia na biology na applications yake kwenye technology ya kila somo husika ndio maana wana somo linaitwa science and technology. Humo ndani mna PCM na PCB na applications zake Sio ana calculate tu kupata tick tu ya jawabu mwisho wa siku kama elimu zetu ndio maana akikaa na mtoto wa high school wa kwetu wa PCB au PCM kinaweza kitoto cha Indian schools cha primary kikamtoa knock out
Mi nilitaka kushangaa Sana.punguza uongo mbwa ww