Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Leo nimetembela kijijini kama ilivyoada kwa sisi tunaoishi kijamaa basi hupata muda wa kukagua maendeleo ya watoto tunaowakuta hapo nyumbani.
Nimeshangaa sana kuzikuta mada za mtoto wa darasa la tatu ambazo kwa kawaida kabisa wengine tulizisoma kuanzia kidato cha kwanzo.
Kwa umri wa watoto wa darasa la tatu na aina ya masomo wanayopatiwa nadhani yanapaswa kutazamwa upya.
Haya mambo ya majaribio katika elimu yanahatari sana. Nimekumbuka zile habari za kuchanganya fizikia na kemia.