Mtaala mpya wa elimu utazamwe upya

Mtaala mpya wa elimu utazamwe upya

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
2,170
Reaction score
3,067
Leo nimetembela kijijini kama ilivyoada kwa sisi tunaoishi kijamaa basi hupata muda wa kukagua maendeleo ya watoto tunaowakuta hapo nyumbani.

Nimeshangaa sana kuzikuta mada za mtoto wa darasa la tatu ambazo kwa kawaida kabisa wengine tulizisoma kuanzia kidato cha kwanzo.

Kwa umri wa watoto wa darasa la tatu na aina ya masomo wanayopatiwa nadhani yanapaswa kutazamwa upya.

Haya mambo ya majaribio katika elimu yanahatari sana. Nimekumbuka zile habari za kuchanganya fizikia na kemia.
 
image-2024-03-09-12:18:08-120.jpg
 
Lakini kumbuka zama ulizosoma wewe ni tofauti na zama hizi
Mabadiliko yapo na yanaendana na teknolojia
Siyo vema kuendelea kufundisha yele uliyosoma wewe miaka mingi huko nyuma
Hata katiba yenyewe tunaona imepitwa na wakati
Kwa nini mitaala isiboreshe iendane na wakati uluopo??
Tafakari........
 
Nakubaliana kabisa katika maboresho yanayoendana na wakati hasa wakati huu ambao teknolojia inaenda kasi sana.

Hebu fanya homework kwanza ya hiki kilichopo sokoni kisha urudi hapa. Upande wa vitabu vya lugha ya kiswahili navyo bado havipo zaidi vilivyokuwa tayar kwa walimu tu.

Mambo ni mengi sana.
 
Peleka mtoto Indian schools hapo Dar tu uone wanasoma nini wai hutumia syllabus ya India sio ya Tanzania. Peleka mwanao pale uone muziki wake
pcb haiwez somwa darasa la nne acha ujinga....! et darasa la nne aanze kucalculate escape velocity....anasolve matrix darasa la 4 ...aiwezee wap iyo intergration..kadanganye wengne
 
pcb haiwez somwa darasa la nne acha ujinga....! et darasa la nne aanze kucalculate escape velocity
Wanasoma kama masomo sio combination yakiwemo mengine ila syllabus yao akikaa na mtoto wa PCB wa Tanzania ngoma draw

Primary wao fizikia,kemia na biologia ni masomo yanafundishwa shule ya msingi
 
Wanasoma kama masomo sio combination yakiwemo mengine ila syllabus yao akikaa na mtoto wa PCB wa Tanzania ngoma draw

Primary wao fixings,kama na biologia ni masomo yanafundishwa shule ya msingi
ngoma drawa ?? stop overrating indian schools.
 
pcb haiwez somwa darasa la nne acha ujinga....! et darasa la nne aanze kucalculate escape velocity....anasolve matrix darasa la 4 ...aiwezee wap iyo intergration..kadanganye wengne
Syllabus yao kali sana hayo masomo sababu wao wanasoma madomo ya science and technology primary wanasoma tu sio masomo ya PCB au PCM theoretically only wanasoma na application yake kwenye technology jinsi fizikia,Kemia na biology na applications yake kwenye technology ya kila somo husika ndio maana wana somo linaitwa science and technology. Humo ndani mna PCM na PCB na applications zake Sio ana calculate tu kupata tick tu ya jawabu mwisho wa siku kama elimu zetu ndio maana akikaa na mtoto wa high school wa kwetu wa PCB au PCM kinaweza kitoto cha Indian schools cha primary kikamtoa knock out
 
Unaongea kwa kuona au kusimuliwa
 
Unaweza kuprove kauli hii?
 
Mh! Hii ni uongo
 
Wanapewa ile basic knowledge tuu, mfano hapo kwenye sikio, anazungumzia sana sana Parts za sikio, Haendi deep kufika kwenye Mechanisms..
Mimi sioni ugumu hapo
 
Back
Top Bottom