Mtaala mpya wa elimu, walimu jiandaeni kurudi shule

Screenshot_20230514-205740.png
 
Elimu ya Tz mnawapa wanasiasa wasiojitambua that way watu hupeleka watoto wao kusoma nje

Yaani kila kichaa akipata uwaziri anakuja na Ajenda na sera Mpya kuhusu Elimu yetu ...ujinga mtupu
Mbona mapendekezo ni mazuri sioni baya, labda mapungufu ya kawaida. Halafu sera haitungwi na wanasiasa.
 
Hizi Elimu za vyuo vikuu wanazitukuza tu % kubwa hazina impact na wanaozisoma wenyewe % kubwa ni weupe kabisa kichwani. Nadhani waliomaliza vyuo vikuu mtanisapoti kwa hili. Huko vyuoni kuna mengi ya kuboresha. Km mtu anamaliza chuo kikuu lakini ni mweupe kichwani inakuwa haina maana. Hata lugha tu ya Kiingereza ambayo ndiyo lugha ya kufundishia na kujifunzia unakuta mhitimu hawezi hata kutengeneza sentence moja. Wakati nipo chuo kikuu nimeshuhudia wanachuo wanashindwa kabisa ku-present assignments wanazopewa. Wakati wa presentation mtu ana tetemeka mwili mzima utadhani kuku wa kideli, lakini mwisho wa sku anapitia mgongo wa wenzake ktk course work na kuhitimu. Na huyo eti ndiyo tunataka awafundishe watoto wetu kisa kamaliza Diploma au Degree na GPA kubwa.

Mimi nadhani tulitakuwa tuanze na watoa hizo degree. Tatizo lililoko huko vyuoni kwa sasa limetokana na serikali kuthamini matokeo ya kwenye makaratasi(ufaulu wa vyeti) kuliko uhalisia wa mtu kichwani. Mfano eti ili uwe lecturer sharti uwe na 3.5 na kuendelea undergraduate wakati mtu anakuwa na 4.0 lakini reasoning yake na presentation of ideas are poor. Bora tungeimarisha huko kwanza kuondoa Walimu wa vyuo vikuu wenye GPA kubwa lakini kichwani wanatia mashaka na pia kudhibiti utoaji wa degree za ujanja ujanja(nimewahi kuskia vijana wakiziita degree za vyupi, sjui ni degree gani hizo).

Na niseme tu kuwa hata mambo wanayosoma kwa sasa huko vyuo vikuu wanaenda kutumia robo tu ktk ufundishaji hasa O-level. Enzi zetu Mwalimu wa degree alikuwa anafundisha A-level tu, sio km sasa eti wanafundishwa hadi Msingi. Are we serious. Sisi tumefundishwa na Walimu wa UPE na waliomaliza Elimu ya mkoloni darasa la 4 tukiwa shule ya Msingi, Walimu wa Diploma kwa O-level, na wa Degree kwa A-level na walikuwa wazuri sana hata kuliko wa sasa. Kwa nini hatujiulizi hilo na kujiuliza tulikosea wapi hadi baadae tukapata Walimu wenye uwezo hafifu.

Hivyo, tulitakiwa kupata majibu ya wapi tulipotoka, tumefikaje hapa, na tutaendaj huko mbele bila kubadilisha mtaala kwa kasi ya 4G na kuwabana Walimu kuwa na Elimu kubwa wakati application yake ktk kazi zao hata robo haifiki. Kuendelea kuthamini Elimu kubwa na GPA kubwa ni kujitekenya na kucheka wenyewe.

Sioni ulazimana wa Walimu wa shule ya Msingi kuwa na Diploma na Sekondarikuwa na degree kwa kuzingatia hayo niliyosema hapo juu. Wapo watakaonipinga lakini huo ndiyo ukweli. Kuna Walimu kibao tu Wana Elimu ya cheti au stashahda lakini wako makini na wanajuwa kuliko hao wa degree.

Km wingi wa madarasa kichwani ni utambulisho kwa mtu kuwa amesoma sana na kujua mengi mbona serikalini Elimu ya Uzamili ( Masters) kwa Walimu haitambuliki wala siyo ya lazima. Yani ukiwa nayo ni sawa na pambo tu haitakuongezea chochote ktk career yako ya Ualimu? Maanake ni kuwa mtu wa Masters kwa career ya Ualimu hana jipya tofauti na undergraduate. Na huo pia unabakia kuwa ukweli.

Nimemaliza, wale milozaliwa kwa ajili ya kupingapinga bila hoja madhubuti kazi kwenu.
 
Bottom line is .. sera ya elimu 2014 iliruhusu kiiingereza na kiswahili vyote vitumike.
Kitu ambacho wewe ulikuwa hujui.
Mkuu ukiangalia hiyo sera ilikipa Kiswahili nafasi pia ilitamka kuendeleza matumizi ya Kiingereza ndicho nilichokwa nakifahamu sijui unamaanisha nilikuwa sijui nini?
 
Elimu ya Tanzanua mbwembwe nyingi utekelezaji sifuri. Wanabadili mitaala lakini hakuna tija yoyote.
Unaanzisha mada za computer halafu shuleni hakuna umeme wala kompyuta zenyewe, huo si uhawayani.
Hakuna mahusiano yoyote kati ya diploma na elimu ya msingi, ni mbwemmbwe tu.
Elimu ya Tanzania inahitaji resource na rasilimali watu.
Mwalimu mmoja anafundisha masomo 4 na zaidi, hivi kuna tija hapo hata kama mwalimu ana digrii.
Umeisoma sera? Yote hayo yameshughulikiwa.
 
Hizi Elimu za vyuo vikuu wanazitukuza tu % kubwa hazina impact na wanaozisoma wenyewe % kubwa ni weupe kabisa kichwani. Nadhani waliomaliza vyuo vikuu mtanisapoti kwa hili. Huko vyuoni kuna mengi ya kuboresha. Km mtu anamaliza chuo kikuu lakini ni mweupe kichwani inakuwa haina maana. Hata lugha tu ya Kiingereza ambayo ndiyo lugha ya kufundishia na kujifunzia unakuta mhitimu hawezi hata kutengeneza sentence moja. Wakati nipo chuo kikuu nimeshuhudia wanachuo wanashindwa kabisa ku-present assignments wanazopewa. Wakati wa presentation mtu ana tetemeka mwili mzima utadhani kuku wa kideli, lakini mwisho wa sku anapitia mgongo wa wenzake ktk course work na kuhitimu. Na huyo eti ndiyo tunataka awafundishe watoto wetu kisa kamaliza Diploma au Degree na GPA kubwa.

Mimi nadhani tulitakuwa tuanze na watoa hizo degree. Tatizo lililoko huko vyuoni kwa sasa limetokana na serikali kuthamini matokeo ya kwenye makaratasi(ufaulu wa vyeti) kuliko uhalisia wa mtu kichwani. Mfano eti ili uwe lecturer sharti uwe na 3.5 na kuendelea undergraduate wakati mtu anakuwa na 4.0 lakini reasoning yake na presentation of ideas are poor. Bora tungeimarisha huko kwanza kuondoa Walimu wa vyuo vikuu wenye GPA kubwa lakini kichwani wanatia mashaka na pia kudhibiti utoaji wa degree za ujanja ujanja(nimewahi kuskia vijana wakiziita degree za vyupi, sjui ni degree gani hizo).

Na niseme tu kuwa hata mambo wanayosoma kwa sasa huko vyuo vikuu wanaenda kutumia robo tu ktk ufundishaji hasa O-level. Enzi zetu Mwalimu wa degree alikuwa anafundisha A-level tu, sio km sasa eti wanafundishwa hadi Msingi. Are we serious. Sisi tumefundishwa na Walimu wa UPE na waliomaliza Elimu ya mkoloni darasa la 4 tukiwa shule ya Msingi, Walimu wa Diploma kwa O-level, na wa Degree kwa A-level na walikuwa wazuri sana hata kuliko wa sasa. Kwa nini hatujiulizi hilo na kujiuliza tulikosea wapi hadi baadae tukapata Walimu wenye uwezo hafifu.

Hivyo, tulitakiwa kupata majibu ya wapi tulipotoka, tumefikaje hapa, na tutaendaj huko mbele bila kubadilisha mtaala kwa kasi ya 4G na kuwabana Walimu kuwa na Elimu kubwa wakati application yake ktk kazi zao hata robo haifiki. Kuendelea kuthamini Elimu kubwa na GPA kubwa ni kujitekenya na kucheka wenyewe.

Sioni ulazimana wa Walimu wa shule ya Msingi kuwa na Diploma na Sekondarikuwa na degree kwa kuzingatia hayo niliyosema hapo juu. Wapo watakaonipinga lakini huo ndiyo ukweli. Kuna Walimu kibao tu Wana Elimu ya cheti au stashahda lakini wako makini na wanajuwa kuliko hao wa degree.

Km wingi wa madarasa kichwani ni utambulisho kwa mtu kuwa amesoma sana na kujua mengi mbona serikalini Elimu ya Uzamili ( Masters) kwa Walimu haitambuliki wala siyo ya lazima. Yani ukiwa nayo ni sawa na pambo tu haitakuongezea chochote ktk career yako ya Ualimu? Maanake ni kuwa mtu wa Masters kwa career ya Ualimu hana jipya tofauti na undergraduate. Na huo pia unabakia kuwa ukweli.

Nimemaliza, wale milozaliwa kwa ajili ya kupingapinga bila hoja madhubuti kazi kwenu.
Unaequate elimu na Nini Mkuu.
Unafahamu umuhimu na malengo ya vyuo vikuu kweli? Daaah..tuna safari ndefu sana
 
Elimu ya Tz mnawapa wanasiasa wasiojitambua that way watu hupeleka watoto wao kusoma nje

Yaani kila kichaa akipata uwaziri anakuja na Ajenda na sera Mpya kuhusu Elimu yetu ...ujinga mtupu
Kwa hiyo huyu waziri wetu wa elimu zimeyumba au sijakuekewa sawasawa?
 
Kwa waalimu lazima umalize form six.
Naona serikali imekubali hoja ya kuboresha elimu yetu. Safi. Mawazo mazuri yametolewa humu jamvini. Vile vile ni kweli upo umuhimu wa kuboresha miundo mbinu ili kila darasa liwe na idadi ya wanafunzi ambao mwalimu anawamudu na hakuna atakayekaa chini.

Hata hivyo lipo eneo ambalo sijui lengo lake. Tunaelezwa huu mtaala unaopendekezwa unalenga katika kuwawezesha vijana kuajiriwa au kujiajiri wenyewe kwa kuwa na stadi za kazi stahiki. Kwa malengo hayo masomo ya bible knowledge na dini ya Kiislamu yanategenewa kuwapeleka wapi vijana. Miaka ya nyuma masomo haya (kwa mfano bible knowledge) yalikuwa optional, kwa mwanafunzi anayepnda lakini haikuwa lazima. Kufanya yawe optional yatapunguza mzigo wa masomo kwa wanafunzi. Nalisema hili kwa sababu dini zetu zina utaratibu wake wa kupata viongozi wake. Pengine serikali iyaachie madhehebu ya dini yaendelee na taratibu zake kama ilivyo sasa. Tusipokuwa makini ipo hatari ya malumbano ya kidini tunayoshuhudia huku mitaani kwetu kuhamishiwa mashuleni. Ni dhahiri umakini wa hali ya juu unatakiwa katika suala na dini/imani.
 
Kabisa mkuu,
Sikufanya utafiti ila mdo
Wazo lako liko sawa kabisa.
Serikali itangaze kabisa ili walio mitaani wajue kabisa.

Na Elimu ya Awali ndo wafundishwe na Diploma,Msingi wafundishwe na Shahada, Seko Shahada, A level Shahada

Tuondoe uozo

Hao wengine wapewe muda wa kujifunza kukidhi mahitaji ya sasa
Kabisa mkuu,
Sikufanya utafiti ila nilimuuliza mdogo wangu ni Mwl.
Majibu yalikuwa hivi;

Shuleni kwao kuna walimu 17,kati yao mathematics ni 3,Physics 2, chemistry ni 3(HM) ndani, Biology ni 4(HM)ndani. Kati ya hao degree holder ni 2 kwa maana ya mathematics and ICT, Chemistry and biology (HM). Waliosalia (physics and mathematics ni 1),(Chemistry and biology ni 2),(mathematics and geography ni 1) na (physics and biology ni 1) hawa wote ni diploma holder. Hapo ni shule moja,waende masomoni kwa wakati mmoja?

Hili suala Linahitaji maandalizi ya muda mrefu ili kuto athiri ufundishaji na ujifunzaji shuleni.
Mdogo wangu ndo huyo wa physics and mathematics lkn anasema hana muda wa kupoteza kwenda kupiga book upya,yuko tayari kwenda msingi ama achote mpunga Bank ajiengue akasomee pharmacy baadae afungue pharmacy kuliko elimuni huko kutishiana kwingi.
 
Back
Top Bottom