hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaha kwani uwedawazimu mpaka uvue nguo? 😂 😂Sasa mbona hamliagi halafu pia hamjakua wendawazimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwani uwedawazimu mpaka uvue nguo? 😂 😂Sasa mbona hamliagi halafu pia hamjakua wendawazimu
Kmmk 😂 😂 😂Mfano, Baba anarudi nyumbani na hasira anapokelewa na mkewe halafu inatokea jambo dogo tu kama chumvi imezidi ndani ya mboga na hapohapo anaamua kumcharanga vibao mkewe.
Huo sio wendawazimu kwa wanaume???
Huu ni wazimu uliotukuka 😂 😂 😂Kuna Mzee Mmoja Yeye akiwa anatoka tu Kazini anampigia Simu Mkewe kumwambia amkute Uchi ili akifika tu auchomeke je, huu siyo Utahaira?
Kwakweli hapana😂😂😂😂Hahaha kwani uwedawazimu mpaka uvue nguo? 😂 😂
Najaribu kuwaza vitu wanavyovifanya wanaume vinavyofana na uwendawazimu😂😂😂😂😂Kwani ule 'utafiti kuwa kila walipo Waswahili ( Watanzania ) Wanne basi Mmoja wapo ni Mwendawazimu hukuwahi Kuusikia wala Kukutana nao tu?
Machozi ya kiutu uzima yapoje!!Kulia machozi au unamaanisha kulia machozi ya kiutuzima?
Kuna wale watoto waliokua wanaambiwa "acha hiyo chafu" ndio hawa mabishoo wa saizi wanaolia.Wewe unajiona uko gado lakini kwa hakika haupo gado.
Katika maisha kuna kupanda na kushuka, kuna Mwanamke na mwanaume, kuna usiku na mchana, kuna shetani na malaika, kuna majonzi na furaha, kuna kushoto na kulia, kuna wema na wabaya, sasa iweje kusiwe na kulia na kucheka.
Kulia ni sehemu ya maisha kama jinsi shida na raha ni sehemu ya maisha.
Kuto kulia kwa sababu fulani ni tatizo, Watu wengi hawajui.
Nasema tena mimi huwa nalia kama mtoto ninapojiona nipo mbele ya Mungu nikitoa shukurani au nikiomba shida zangu ziondoke, ila silii ili watu wasikie nikilia laa, bali nalia kiasi kwamba hakuna anayejua na hapo hupata faraja na moyo wangu hutulia.
That's my personal experience.
Nina miaka kama 17 au 20 hivi imepita sijalia na yawezekana labda ndiyo maana hivi sasa nina Uono hafifu. Ngoja nimchokoze Mtu anipige ili Nilie.Kwa taarifa yako machozi pia ni dawa ya macho, mtu unapolia yale machozi yanasafisha macho na hivyo kuyapa nguvu macho. Hiyo ni faida nyingine ya kulia.
Go and read medical journals.
Labda Kipindi kile ukiwa Unakojoa hovyo Kitandani Usiku wakati ukiwa Darasa la Saba au Kidato cha Pili Mkuu. Nadhani utakuwa umeshakumbuka.
Nina miaka kama 17 au 20 hivi imepita sijalia na yawezekana labda ndiyo maana hivi sasa nina Uono hafifu. Ngoja nimchokoze Mtu anipige ili Nilie.
Nyie ndo huwa mnasumbua watu Usiku wa manane kwa kulia?,Siku moja mimi nikajua kuna msiba,kumbe wazee wa kazi wanalia.Dah aisee kulia lia hovyo sijui km kweli ni agizo la Mungu.Nasisitiza kulia lia hovyo,najua kulia kupo ila sio kwa uliaji wenu .SAMAHANI MKUU km nimekukwaza.Wenzako huwa tunalia takriban kila siku, tukisujudi kumuomba na kumshukuru Mungu katika shida na raha zetu.
Kulia kwa "reason" na sio kulia tu.