Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Umeona eennhh?!!!!.Dume zima eti linalia,tena lipo na mke na watoto wake.Kwahiyo kulia unaona ni kitu cha staha kwa mwanaume? Hapa hamna kulia wala nini na hawi mtu mwendawazimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eennhh?!!!!.Dume zima eti linalia,tena lipo na mke na watoto wake.Kwahiyo kulia unaona ni kitu cha staha kwa mwanaume? Hapa hamna kulia wala nini na hawi mtu mwendawazimu
Mkuu tutasikia na kuyaona mengiBila shaka kuna wanaume wengi ambao huwa hawafanyi hivi(na Mimi nikiwemo ), sasa siwangekuwa wendawazimu.
Au huwa inachukua muda gani mpaka kupata huo Wenda wazimu?
Au hili swala ni jipya limeanza na hii mitano tena?...... Natania
Ukilia Lia ndio shida zinatoka? Huo ni uwendawazimu haswaaa maana huwa mnashindana kukiliza mbele ya mapasta uchwara kwenye makanisa ya ujasiliamali afu mnanyamaza yaani mnapanga dakika za kulia,huu sasa ndio wehunwenyew imagine usingekuwa unalia ingekuwaje kama sio kutembea uchiWewe unajiona uko gado lakini kwa hakika haupo gado.
Katika maisha kuna kupanda na kushuka, kuna Mwanamke na mwanaume, kuna usiku na mchana, kuna shetani na malaika, kuna majonzi na furaha, kuna kushoto na kulia, kuna wema na wabaya, sasa iweje kusiwe na kulia na kucheka.
Kulia ni sehemu ya maisha kama jinsi shida na raha ni sehemu ya maisha.
Kuto kulia kwa sababu fulani ni tatizo, Watu wengi hawajui.
Nasema tena mimi huwa nalia kama mtoto ninapojiona nipo mbele ya Mungu nikitoa shukurani au nikiomba shida zangu ziondoke, ila silii ili watu wasikie nikilia laa, bali nalia kiasi kwamba hakuna anayejua na hapo hupata faraja na moyo wangu hutulia.
That's my personal experience.
Ukilia Lia ndio shida zinatoka? Huo ni uwendawazimu haswaaa maana huwa mnashindana kukiliza mbele ya mapasta uchwara kwenye makanisa ya ujasiliamali afu mnanyamaza yaani mnapanga dakika za kulia,huu sasa ndio wehunwenyew imagine usingekuwa unalia ingekuwaje kama sio kutembea uchi