Mtaalamu: Siyo kweli bandari ya Dar haiwezi kupokea meli inayobeba makontena 50,000. Kwanza meli hiyo haipo duniani

Mtaalamu: Siyo kweli bandari ya Dar haiwezi kupokea meli inayobeba makontena 50,000. Kwanza meli hiyo haipo duniani

Meli zinazobeba container ziko ktk categories zifuatazo, ukianza na ndogo:

1.Small Feeder,

2.Feeder,

3.Feedermax,

4. Panamax,

5.Post Panamax,

6.New Panamax / Neo Panamax

7.Ultra Large Container Vessel (ULCV).

..bandari ya Dsm capacity yake kupokea meli za Panamax. Lakini inasemekana meli za ukubwa huo zinaingia bandarini kwa matatizo.

..mradi upanuzi unaofanyika utawezesha bandari yetu kupokea meli za ukubwa wa Post Panamax.
 
Meli zinazobeba container ziko ktk categories zifuatazo, ukianza na ndogo:

1.Small Feeder,

2.Feeder,

3.Feedermax,

4. Panamax,

5.Post Panamax,

6.New Panamax / Neo Panamax

7.Ultra Large Container Vessel (ULCV).

..bandari ya Dsm capacity yake kupokea meli za Panamax. Lakini inasemekana meli za ukubwa huo zinaingia bandarini kwa matatizo.

..mradi upanuzi unaofanyika utawezesha bandari yetu kupokea meli za ukubwa wa Post Panamax.
Ya makontena 50,000 inaangukia kundi gani hapo bwashee?
 
December 23, 2019
Mwanza, Tanzania

AJENDA 2020 : UCHUMI WA BANDARI
Mtaalamu wa Shipping Julius Nguhulla Managing Director of Maritime Harvest Consultant Maritime Harvest Consultants Ltd. akiangazia suala la uchumi na huduma za bandari toka 2015 na je walaji (Customers) wanaotumia huduma hizo wanaridhika na huduma wazipatazo ikiwemo gharama zake? na dhana kuwa shipping ni kichocheo cha uchumi wa nchi yoyote.

Washindani wa bandari za Tanzania waliopo nchi jirani wanatoa changamoto gani kwa bandari zetu za Tanzania. Bandari hizo za Beira Mozambique, Mombasa Kenya au Durban South Africa


Source: Star TV Habari

Johnthebaptist

Muongozaji kipindi badala ya kukazania uchumi na huduma za bandari unayoinufaisha Tanzania, anaonekana kutaka kumchafua mtaalamu wa shipping, hili ni jambo la ajabu sana na mtangazaji anaonekana kujificha nyuma ya 'uzalendo' kwa kusifia upanuzi wa bandari n.k bila huduma za kuridhisha
Tindo,
Namuangalia huyo mtaalamu hapa, anaongea ukweli lakini katika hali ya hofu kubwa. Ndio tulipofika kama nchi kila mtu anaoogopa kusema ukweli maana mkulu hapendi ukweli zaidi ya kufurahia mapambio.
 
Mada Moto Mdororo wa Mizigo Bandarini 06.09.2016

Mtaalamu Maritime Consultant Julius Nguhulla anatoa somo kwa undani sababu ya meli na mizigo kupungua ktk bandari ya Dar-es-Salaam kutokana na myumbo wa uchumi duniani na Tanzania inaweza vipi kukabiliana na changamoto hiyo ili kuendelea kupata mapato makubwa pamoja na changamoto zilizotajwa hapo chini :
  1. Knowledge ya shipping ndogo sana Tanzania kiasi ya kushindwa kuhudumia meli na mizigo
  2. Kodi, Mwenye Meli kulalamika kukosekana ujuzi wa wafanyakazi bandarini Dsm, Umangi Meza wa TRA
  3. Myumbo / Mdororo wa uchumi duniani
  4. Bandari shindani za Mombasa, Durban South Africa n.k
  5. Meli zaidi ya 700 duniani zime ''paki'' bila mizigo
  6. Meli zingine zimevunjwa vunjwa na kuwa scrapper kutokana na kupungua kwa mizigo
  7. Tanzania tumejitakiwa wenyewe mizigo na meli kupungua
  8. Institute of Chartered Shipbrokers BIMCO Reflections 2014 | Institute of Chartered Shipbrokers
  9. n.k

Source: Channel Ten Tanzania
 
Meli kubwa uwezo kontena 5,063 kuanza kutia nanga bandari ya Dar es Salaam

Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeingia kwenye historia mpya ya kuanza kupokea meli kubwa yenye urefu wa mita 264 aina ya Northern Power uwezo kontena 5,000 TEU kwenye bandari ya Dar es Salaam ambapo awali meli zenye ukubwa huo hazikuweza kutia nanga kwenye bandari hiyo na kutoa fursa kwa bandari za Durban Afrika Kusini na Mombasa nchini Kenya.
 
Ubobevu wa Julius Nguhulla wawekwa wazi kwa waTanzania
Ushindani mkali kati ya bandari ya Mombasa na Dar-es-Salaam baada ya sheria ya TASAC 2017 Machapisho |Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania wabainishwa na
Julius Nguhulla is a Member of Institute of Chartered Shipbrokers of London by Examination (MICS) after having completed his 5 years of shipping professional study and qualified as a Chartered Shipbroker. With his experience of 10 years in shipping and logistics industry, he has found the importance of investing his Time, Knowledge and Capital
 
CMA CGM has announced plans to build the world's largest container ships which will be capable of carrying 22,000 TEU each. They are scheduled for service from the end of 2019.

TEU = "Twenty-foot equivalent unit". Is an inexact unit of cargo capacity often used to describe the capacity of container ships and container terminals.
 
Back
Top Bottom