Mtaalamu: Siyo kweli bandari ya Dar haiwezi kupokea meli inayobeba makontena 50,000. Kwanza meli hiyo haipo duniani

Ndio maana yake!

Ni 50,000 siyo 5000
Pia makasha hayo yaani containers yana size tofauti kwa urefu.
40 feet yapo ya 20 feet na yapo madogo zaidi ya 10 feet
Makasha yanayotumika zaidi ni yale ya 40 feet na 20 feet
10 feet yaani futi 10 hutumika mara nyingi offshore kwenye shughuli za uchimbaji na uzalishaji mafuta ghafi au gesi asilia.
Ni vyema mleta hoja akaweka size ya kasha itakuwa na maana zaidi.
 
Amesema kweli hata nyambizi haina huo uwezo
Mtaalamu wa mambo ya meli na bandari amesema siyo kweli kwamba bandari ya Dsm ina uwezo wa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba makontena 50,000 kwa mara moja.

Mtaalamu huyo aitwaye Julius amemweleza mtangazaji Aloyce Nyanda aka Mtozi wa kipindi cha Ajenda 2020 kwamba taarifa hizo siyo sahihi na zina lengo la kuidanganya mamlaka ya juu.

Kipindi kko hewani muda huu mubashara luningani Star tv.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Jr[emoji769]
 
Pia makasha hayo yaani containers yana size tofauti kwa urefu.
40 feet yapo ya 20 feet na yapo madogo zaidi ya 10 feet
Makasha yanayotumika zaidi ni yale ya 40 feet na 20 feet
10 feet yaani futi 10 hutumika mara nyingi offshore kwenye shughuli za uchimbaji na uzalishaji mafuta ghafi au gesi asilia.
Ni vyema mleta hoja akaweka size ya kasha itakuwa na maana zaidi.
Standard ni 20 feet bwashee!
 
Namuangalia huyo mtaalamu hapa, anaongea ukweli lakini katika hali ya hofu kubwa. Ndio tulipofika kama nchi kila mtu anaoogopa kusema ukweli maana mkulu hapendi ukweli zaidi ya kufurahia mapambio.
Sema ukweli
tukuteke
 
Mtaalamu wa mambo ya meli na bandari amesema siyo kweli kwamba bandari ya Dsm ina uwezo wa kupokea meli kubwa yenye uwezo wa kubeba makontena 50,000 kwa mara moja.

Mtaalamu huyo aitwaye Julius amemweleza mtangazaji Aloyce Nyanda aka Mtozi wa kipindi cha Ajenda 2020 kwamba taarifa hizo siyo sahihi na zina lengo la kuidanganya mamlaka ya juu.

Kipindi kko hewani muda huu mubashara luningani Star tv.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
Kwani aliyedai Meli hiyo ipo ni nani? Tuanzie hapo
 
10ft x 2 = 20ft

40ft/2 =20ft

Maendeleo hayana vyama!
20 ft container standard external dimensions ni 20 ft long X 8 ft wide x 8.5 ft height

40 ft container standard ni 40ft long x 8 ft wide 8.6 ft height outside dimensions.
Mbona unachekesha?
 
Back
Top Bottom