Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Nasumbuliwa sana na tatizo la miguu kuwaka moto, nn chanzo chake na tiba yake plz?
Tatizo hii inaitwa: "Peripheral Neuropathy" na inatokana na tatizo mbali mbali.

Tumia dawa hili: Gabapentin 300mg kila siku kwa muda wa miezi moja pamoja na Neuroton kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi moja.
 
Ninatatizo la kukojoa mara kwa mara ninapokunywa maji mengi kuanzia lita 1.5 na kuendelea kwa muda mrefu. Ila nikishiba na kushindilia maji inakuwa kawaida sana. Kinachonikera ile kwenda chooni mara kwa mara kwa dakika chache.

Nahitaji maji ninayokunywa yakae mwilini. Ni tatizo la muda mrefu had inanipelekea kutopendwa kunywa maji inavyotakiwa

Nahisi labda msuli wa pelvic floor hauko imara au kuna tatizo lingine linasababisha ili tatizo kwani sina ugonjwa wa sukari.
 
Dr. Nimefanya kipimo cha endoscopy na report ikasema a sessile polypoid lesion ni the proximal part of the lesser curve just below the cardial. Wakachukua sample ya tissue kuichunguza majibu yakasema sections show marked hyperplasia of glands with remarkable increase in the mucin vacuoles. No dysplasia still in the biospy received. Marked inflamation in the stroma. Dr kaniandikia pantonex nimeze je ni sahihi? Nategemea kupata muongozo wako
 
Back
Top Bottom