nilienda hospital daktari akasema akapima na vifaa vyake akasema hiyo hali itaisha tu yenyewe mpaka sasa mwaka umeisha bado inasumbua na kitu kingine mimi huwa ninapotumia computa muda mwingine macho yananza kuona kizunguzungu kisha kichwa kuuma mimi nipo arushaMkuu yaonyesha inaweza kuwa maji iliyopo kwenye kiungu ndani ya masikio ina tatizo au haipo sawa. Ningekushauri umuone daktari bingwa wa masikio, pua na koo (ENT Specialist). Wanapatikana Muhimbili pamoja na SANITAS Hospital.
Drnashukuru kwa moyo wako wa kujitolea kutusaidia angalau kujua matatizo yetu na baadae kupata matibabu sahihi.
Mimi nina mfanyakazi wangu ana matatizo mawili
i)anapenda sana kutafuna mifuniko ya chupa za maji,soda kila wakati
2) analalamika sana kuumwa miguu wakati amekaa,hivyo mara nyingi anapenda miguu kukaa imenyooshwa juu ya kiti au kulala.hali hii ameishi nayo zaidi ya miaka 3
huyu ni jinsia ya kike umri wa miaka 29
Mkuu, Ningependa kupewa taarifa zaidi kidogo:
1. Je meno yake inamuasha au kuumpa maumivu yeyote?
2. Je anayo maumivu kwenye ufizi wa mdomo?
3. Je miguu yake imevimba?
4. Je anapata tatizo la ganzi kwenye miguu?
Asante mkuu,mtoto yupo Tanga mjini,he kuna daktari yeyote wa watoto unayemfahamu?Mkuu, tatizo hilo ni vizuri ukamuone daktari bingwa wa watoto. Kuna Daktari moja anaitwa Dr. Rafia pale SANITAS Hospital. Anaweza kukusaidia pamoja na kupa ushauri mzuri zaidi.
Niliambiwa moyo umepanuka,jee hali hvo inaweza pelekea tatizo la kukohoa nyakat za Jioni na asubuh?Yaonyesha una allergy.
Tafadhali chukua dawa hizi kama bado unayo tatizo hilo:
1. Ebastan 5mg, Kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa wiki tatu.
2. Montelukast 5mg, Kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa wiki tatu.
3. Pharmacoff Syrup, kunywa 10ml kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili.
Asante.
hivi dokta dawa ya typhoid nzuri ukiacha chloromphemical na ciproflaxin,ni ipi,maana mimi nasumbuliwa na typhoid lakini nikitumia dawa hizi siponi kabisaHabari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Kuna mgonjwa wangu amepotexa sense kuanzia kiunoni kushuka chini......na miguu yake wala sio ya baridi ila hata ukimgusa hasikii kabisa
Je tatizo litakuwa nini? nisaidie doctor
Niliambiwa moyo umepanuka,jee hali hvo inaweza pelekea tatizo la kukohoa nyakat za Jioni na asubuh?
Asante mkuu,mtoto yupo Tanga mjini,he kuna daktari yeyote wa watoto unayemfahamu?
[emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]1 Maumivu wakati wa kukojoa = Pendelea kunywa sana Maji,madafu,Juisi ya mananasi,Juisi ya muwa na Matikiti.
2 Maumivu ya kiuno = Kama kijana fanya mazoezi ya siteup unapofanya nenda moja kati moja kulia moja kushoto baada ya siku tatu tu nipe mrejesho. Lakini kama mtu mzima jaribu kulala chini kifua juu halafu kunja mguu mmoja goti lifike kifuani zuwia kwa dakika mbili kisha badilisha mguu mwengine rejea hivyo hivyo kwa dakika 15 hadi 30. Pia unaweza kununua dawa ya kupaka inaitwa KIPASI hii dawa nzuri sana.
3 Maumivu ya kichwa na Flu = Hio itakuwa ni Allergy tu unahitaji kutumia Cleritin kidonge kimoja kwa siku baada ya siku mbili au tatu utapata nafuu. lakini ushauri wangu tumia kwa wiki moja mpaka siku 10.
4 Kutokwa na Ute kwenye uume = Kama ni teenager mpaka 25y hio ni kukuwa kwa mwanaume ushajua unachokihitaji(mke) lakini unaweza kufanya mazoezi kupunguza kidogo hiyo kitu. Unaweza kuruka kamba au kukimbia. Lakini kama mtu mzima basi ukinywa hivyo vinywaji vya namba moja vitasaidia sana.
Dr. Ni dawa gan inaweza kutibu ulimi wenye michilizi na unauma ukila vyakula vya moto na vyenye chumvi !!??Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Mkuu nilikuwa hospital (Fortis) wiki mbili zilizopita mana niko Delhi kimasomo nikapima nikaonekana nina acid dokta akaniandikia Nexium nimemaliza lakin bado najisikia kama awali no improvements. Dawa gani nzuri niwaondoe hawa acid mkuu.Vidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?