Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dk LEO NIMEELEEWA

MAANA NILISOMA SEHEMU YALE MABAKA MABAKA ATII NI JOTO LA CHOO CHA SHIMOO DAH NKASEMA. KAZII IPo
 
Habar za majukumu mkuu nina dada yangu anasumbuliwa na maumivu sehemu za sili nakunawakati anatokwa na ute mweupe wakati mwingine anahisi muwasho mkali sana hasa wakati wa hajandogo pamoja na maumivu.

Tumia Dawa hii:

- Nitrofurantoin 100mg, Kidonge kimoja kutwa mara mbili kwa siku saba.

- Cital Syrup 30ml, kunywa kutwa mara mbili baada yakuchanganya na maji kwa siku sana.

- Pia Kunywa maji kwa wingi na osha sehemu za siri vizuri baada yakumaliza haja Ndogo.

Nipe mrejesho.
 
Habar za majukumu mkuu nina dada yangu anasumbuliwa na maumivu sehemu za sili nakunawakati anatokwa na ute mweupe wakati mwingine anahisi muwasho mkali sana hasa wakati wa hajandogo pamoja na maumivu.
Doctor naomba msaada juu ya hilo tatizo nililo kueleza
 
Nakushukuru nitakuparejesho baada yayeye kumaliza kutumia dawa ulizo nielekeza
 
Habar doctor naomba msaada nina tatizo la kuwahi kufika kileleni haraka
 
Nina fungus sehemu ya korodani na sasa zina miezi sita. Zinanisumbua mno na korodani zimepauka na zikishikwa tu zinaanza kuuma. Ni dawa gani nzuri za kutumia kwani nimetumia dawa nyingi sana pasipo kupona.
 
Doctor naomba msaada kaka yangu anatatizo lakuumwa mgongo na anAfanya kazi ya ujenzi nifundi nyumba
 
Dr. Naomba msaada wako...
Mama yangu of 62 yrs old hapati usingizi. Aeza ingia kwa bed saa 4 usiku saa 5 akaamka ndo halali tena mpaka kesho. Anateseka mno...nini twaeza fanya?
 
Je kupishana kwa tarehe za kuingia bleed period kila mwezi linaweza kusababisha mtu asipate mimba? Na je tiba yake ni ipi?
 
Habari wanajamii forum, naomba kuuliza, nikikaa muda mrefu kwenye kiti au nikilala baada ya kuamka na kuanza kutembea visigino vinauma sana kama dak 5 hv ndo narud kwenye hali yangu ya kawaida, na hili tatzo ni linajirudia kila nikikaa au kulala na kuamka. Naomba msaada tatzo ni nn?

Asantanen sana.
 
Dr mi nina 48 yrs ni dereva wa magari makubwa ya safari ndefu, kwahiyo nilikuja kupata tatizo la mguu wa kulia sehemu ya paja kwenye nyonga, nikitembea kwa muda mrefu mguu unakuwa mzito hata kuunyanyua inakuwa ngumu sana, nimepiga xray hamna tatizo,lakini nikitumia dawa aina ya diclofenac inatulia kwa muda tu, baadae maumivu yanajirudia, Dr naomba ushauri wako nitumie dawa gani
 
Dr rejea post namba 470, sijapata bado bingwa wa uzazi, tafadhali dr
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…