Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Najisikia

Tumbo kuwaka moto
Kiu hasa usiku
Choo kigumu
Mdomo kuwa mchungu
Tumbo kuuma
Kujisikia kutapika/kuharisha
Kujamba kwa sauti

Inaweza kuwa ni nini daktari
 
@Dr Sajjad Fazel

Dr miguu inauma sana
sina balace
misuli Ina spasm ,pin and needles

diclofenac hainisaidii kabisa labda kidogo Ligaba
Je ni multiple sclerosis?
Nini dawa yake maana maumivu ni non stop
thanks
 
Mkuu Dr.SajjadFazel! Nina tatizo kubwa ka miaka na miaka. 1. Naumwa chronic migraine hii ni almost kila siku 2. Napata uchovu na kuchoka pasipoishi pia mwili kuumwa karibia wote. Nateseka sana hapa Kipanda uso nimetumia dawa nyingi sana ikiwa ni pamoja na Botox injections
Mkuu habari? Ivi botox injection iyo ipo kwa apa Tz au uliagiza kutoka nje
 
Dr.Tatizo la kutozuia mkojo,mkojo kutoka wenyewe bila control nini tiba yake tafadhali.Tatizo ni kwa mwanaume wa miaka 37.Ushauri na tiba please
 
Dr.Nina tatizo la kuuma mkono wa kushoto ndani hasa ukila nyama hasa ya mbuzi na vyakula vingine vya aina hiyo.Nilishapima hospital hamna ugonjwa.Ni tatizo la zaidi ya miaka 9 sasa.Mkono mmoja tuu huuma.Ahsante
 
Pole na majukumu Dr.
Umekuwa kimya sana.
Niliuliza swali hili hapo juu "Je kupishana kwa tarehe za kuingia bleed period kila mwezi linaweza kusababisha mtu asipate mimba? Na je tiba yake ni ipi?"

Nitashukuru sana nikipata majibu.
 
Wadau hivi Dr yupo au amesafiri, mbona kimya kingi, Dr jitokeze tunahitaji msaada wako ni muhimu sana

Nipo Mkuu. Majukumu yaliongezeka. Ngoja nipitie maswali pole pole. Nita jibu kabla ijumaa. Nakutakia Heri ya Mwaka Mpya!
 
Dr.Tatizo la kutozuia mkojo,mkojo kutoka wenyewe bila control nini tiba yake tafadhali.Tatizo ni kwa mwanaume wa miaka 37.Ushauri na tiba please

Mkuu, inaweza kuwa tatizo la kawaida ya incontinence au inaweza kuwa Tezi Dume. Ni bora afike Hospitali afanyiwe kipimo cha Tezi Dume.
 
doctor vp ttz la kukaa na ttzo la enia mda mrefu bila kufanyiwa upasuaji na aina ya enia ni ile ya mshipa kuvimba pemben ya cock hii inakuwaje doctor
 
Dr.
1. fangasi wa kwenye mapaja pembeni mwa testes dawa yake nini. Ninawashwa sana.

2. Jambo jingine ni kuwa nikikimbia au kufanya jambo litakaloleta mitikisiko ama vibration ya nyama za mapaja huwa nawashwa sana kwenye mapaja yote. Hali hii hutulia baada ya kuacha kukimbia na kutulia kwa muda mfupi. Hali hii hunitokea nikipanda pikipiki ambayo ikipita barabara isiyokuwa ya lami. Kwa ufupi ni kuwa vigorous vibration yoyote kwenye nyamba za mapaja hunilwtea tatizo la kuwasha muwasho.
 
Back
Top Bottom