Mkuu habari? Ivi botox injection iyo ipo kwa apa Tz au uliagiza kutoka njeMkuu Dr.SajjadFazel! Nina tatizo kubwa ka miaka na miaka. 1. Naumwa chronic migraine hii ni almost kila siku 2. Napata uchovu na kuchoka pasipoishi pia mwili kuumwa karibia wote. Nateseka sana hapa Kipanda uso nimetumia dawa nyingi sana ikiwa ni pamoja na Botox injections
Mkuu habari? Ivi botox injection iyo ipo kwa apa Tz au uliagiza kutoka nje
Wadau hivi Dr yupo au amesafiri, mbona kimya kingi, Dr jitokeze tunahitaji msaada wako ni muhimu sana
Dr.Tatizo la kutozuia mkojo,mkojo kutoka wenyewe bila control nini tiba yake tafadhali.Tatizo ni kwa mwanaume wa miaka 37.Ushauri na tiba please
Dr naomba msaada wa kumpata bingwa wa wanawake
Pole na majukumu Dr.Nipo Mkuu. Majukumu yaliongezeka. Ngoja nipitie maswali pole pole. Nita jibu kabla ijumaa. Nakutakia Heri ya Mwaka Mpya!
Kuna tatizo la kuwashwa baada ya kuoga pia tatizo la vipele vya mara kwa mara msaada tafadhari doctorDr. Josephine - Hospitali ya SANITAS, Mikocheni, Dar Es Salaam.
Najisikia
Tumbo kuwaka moto
Kiu hasa usiku
Choo kigumu
Mdomo kuwa mchungu
Tumbo kuuma
Kujisikia kutapika/kuharisha
Kujamba kwa sauti
Inaweza kuwa ni nini daktari
Dr. Josephine - Hospitali ya SANITAS, Mikocheni, Dar Es Salaam.
Kuna tatizo la kuwashwa baada ya kuoga pia tatizo la vipele vya mara kwa mara msaada tafadhari doctor
Kumbe tupo weng
Mbona hajibu sas
Ngj tusubr mkuuSielewi kwanini hajibu aise pengine yuko bize. Japo leo nimemuona Twitter kwenye Elimika Wikiendi.