Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Nikihisi kiu, nikinywa maji yawe ya kawaida au ya baridi au ya uvuguvugu huwa natokwa jasho sanaa. Halii hiyo inakuwa kelo sana kwangu. Je Nina tatizo au ni mwili tu?

Nishajibu swali hii jana. Kuwa makini mkuu.
Nilikujibu hivi:

"Ukinywa maji, mwili yako inatumia hiyo maji kujipooza kwa kutokwa jasho. Lazima urudishe ile maji kwa kuendelea kunywa maji au utapata dalili za upungufu wa maji ndani ya mwili kama kuchokachoka, kuona kizunguzungu na mengineo. Hali ya hewa sasa hivi ni joto sana na kutokwa jasho ni kitu cha kawaida."
 
Dawa ya fangasi na muwasho mkali sehemu za siri nini Dr?

1. Hakikisha huvai nguo zinazobana
2. Hakikisha unabadilisha nguo za ndani
3. Kausha eneo la siri na mapaja baada kumaliza haja ndogo au kubwa.
4. Tumia dawa hizi:
- Terbinafine tablet, kunywa kidonge kimoja kila siku kwa muda wa siku 28.
- Terbinafine cream na Hydrocortisone cream changanya hizi dawa mbili alafu, pakaa asubuhi na usiku kwa muda wa siku 28.
 
Atumie dawa hii:

Lactulose Solution 15mls kila baada ya siku mbili kwa muda wa wiki mbili.
Ooooh OK Dr asante sana nimekupata
 


Miguu inawaka moto chini ya unyayo, na wakati mwingne inakuwa kama ina pata ganzi hivi kwa dakika kadhaa
Ila sjaenda Hosptal
 
Asante Dr hili tatizo linanisumbua sana
 
Naomba kufaham ni madhara gani mtu anapata kwa kutumia maji yamoto kama njia ya kupunguza tumbo? je, ni kweli kuwa badae tumbo hutepeta?
pia kutumia mkanda maalum wa kupunguza tumbo kuna madhara au nini effect yake kwa badae?
 
dr samahan hv kwenye suala la rhizhas factors ni combination gan isiyofaa kupata mtoto kwa mke na mume wakioana? je, ni +&-, blood groups, the like or
 
Habar ya kazi pia pole kwa majukumu,
Nna swali lifuatalo,Mdogo wangu yupo chuon mwk wapil n anasumbuliw n TATZO la EPIGASTRIC HERNIA, ametokwa kauvmbe kwny epigastric area lkn ni painless.. Alichekiw hospital akapangiw tar ya operation lkn hkwenda hd leo anaofia masomo pia anaogp operation.
SWALI:JE Dokta nn madhara ya EPIGASTRIC HERNIA km atakaa nayo kwa Muda Bila tiba? je kuna tiba ya ilo tatzo tofaut n operation??
Please i need ur advice Dr.
Thanks!!!
 
Miguu inawaka moto chini ya unyayo, na wakati mwingne inakuwa kama ina pata ganzi hivi kwa dakika kadhaa
Ila sjaenda Hosptal

Mkuu, unatatizo la Peripheral Neurpathy.
Tumia dawa hii:
Neurobion: Kunywa kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…