sylvertical
Member
- Dec 29, 2016
- 15
- 9
Dawa ya fangasi na muwasho mkali sehemu za siri nini Dr?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikihisi kiu, nikinywa maji yawe ya kawaida au ya baridi au ya uvuguvugu huwa natokwa jasho sanaa. Halii hiyo inakuwa kelo sana kwangu. Je Nina tatizo au ni mwili tu?Tafadhali rudia swali
He unaweza kuipaka sehemu yeyote mwilini external
Salaam Dr naomba kusaidiwa tatizo la kutokupata choo kwa mjamzito ni dawa ipi itafaa kwake?
Nikihisi kiu, nikinywa maji yawe ya kawaida au ya baridi au ya uvuguvugu huwa natokwa jasho sanaa. Halii hiyo inakuwa kelo sana kwangu. Je Nina tatizo au ni mwili tu?
Dawa ya fangasi na muwasho mkali sehemu za siri nini Dr?
Ooooh OK Dr asante sana nimekupataAtumie dawa hii:
Lactulose Solution 15mls kila baada ya siku mbili kwa muda wa wiki mbili.
Nishajibu swali hii jana. Kuwa makini mkuu.
Nilikujibu hivi:
"Ukinywa maji, mwili yako inatumia hiyo maji kujipooza kwa kutokwa jasho. Lazima urudishe ile maji kwa kuendelea kunywa maji au utapata dalili za upungufu wa maji ndani ya mwili kama kuchokachoka, kuona kizunguzungu na mengineo. Hali ya hewa sasa hivi ni joto sana na kutokwa jasho ni kitu cha kawaida."
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Asante Dr hili tatizo linanisumbua sana1. Hakikisha huvai nguo zinazobana
2. Hakikisha unabadilisha nguo za ndani
3. Kausha eneo la siri na mapaja baada kumaliza haja ndogo au kubwa.
4. Tumia dawa hizi:
- Terbinafine tablet, kunywa kidonge kimoja kila siku kwa muda wa siku 28.
- Terbinafine cream na Hydrocortisone cream changanya hizi dawa mbili alafu, pakaa asubuhi na usiku kwa muda wa siku 28.
Nashkr sana Dr kwa ushaurNi bora kupunguza juisi kama hizo. Rabeprazole inafanya kazi vizuri zaidi. Hakikisha unazingatia ulaji bora kama nilivyokueleza.
Asante mkuu. Sasa hizi Valacylovir na Penciclovir natumia zote kwa mpigo au nachukua moja kati ya hizoValacylovir na Penciclovir
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Miguu inawaka moto chini ya unyayo, na wakati mwingne inakuwa kama ina pata ganzi hivi kwa dakika kadhaa
Ila sjaenda Hosptal
Dr naomba unisaidie dawa inayoweza kusaidia kucha zangu kuacha kuchimbika yaan zinakuwa zinarika