Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #861
Habari mkuu.
Nina tatizo la fungas ktk vidole vya mikono na miguu,nimejaribu kutumia dawa za kumeza na kupaka lakini bado cjapata nafuu zaidi ya kupungua na kurudia hali yake ile ile.nifanye nini ili niondokane na hili tatizo.shukran
Naomba kufaham ni madhara gani mtu anapata kwa kutumia maji yamoto kama njia ya kupunguza tumbo? je, ni kweli kuwa badae tumbo hutepeta?
pia kutumia mkanda maalum wa kupunguza tumbo kuna madhara au nini effect yake kwa badae?
Sasa wewe mwenye medical degree mbona hujajitokeza kuelimisha. Elimu ya Afya ni pana wewe.Acha kuwaongopea watu wewe. Ute nyeupe pia ni dalili ya infection. Lazima kuangalia dalili zote Na kuelewa hali ya mtu kwanza. Tafadhali kama huna medical degree usipotoshe watu.
Mbona hili hulijibu au huna utaalamu nalo?Dokta mi nimekua nikipiga punyeto kwa muda mrefu sasa uume wangu haufai hausimami kabisa na ukisimama hata kabla haujaingia kunako napizz hapo hapo na siendelei. Napoteza kumbu kumbu, sina uwezo wa kufikiri, korodani zinauma... Je naanzaje kutatua matatizo yangu?
Sasa wewe mwenye medical degree mbona hujajitokeza kuelimisha. Elimu ya Afya ni pana wewe.
Ndiyo kama mama anayo + Na mtoto anayo - ndipo tatizo linatokea Na mama anachomwa Anti-D injection.
Mkuu mimi nina vidonda vinavyo tokana acidity dawa gani itanisaidia?Vidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?
Umejuaje kama vinatokana na acidity? Maana dawa bila uhakika ni tatizo. Je unapata maumivu ya tumbo ukiwa na njaa au ukila chakula? Ukila vyakula vya pilipili limao unajisikiaje? ukijibu nitakusaidia hata kabla ya dokta hajaja kujibu. Kama nimekosea mnisamehe....Mkuu mimi nina vidonda vinavyo tokana acidity dawa gani itanisaidia?
Umejuaje kama vinatokana na acidity? Maana dawa bila uhakika ni tatizo. Je unapata maumivu ya tumbo ukiwa na njaa au ukila chakula? Ukila vyakula vya pilipili limao unajisikiaje? ukijibu nitakusaidia hata kabla ya dokta hajaja kujibu. Kama nimekosea mnisamehe....Mkuu mimi nina vidonda vinavyo tokana acidity dawa gani itanisaidia?
Nilipima hyperol hawapo na nikapima vidonda vipoUmejuaje kama vinatokana na acidity? Maana dawa bila uhakika ni tatizo. Je unapata maumivu ya tumbo ukiwa na njaa au ukila chakula? Ukila vyakula vya pilipili limao unajisikiaje? ukijibu nitakusaidia hata kabla ya dokta hajaja kujibu. Kama nimekosea mnisamehe....
Kipimo kimeonesha ninahiyo kitu, dawa zake ni zipi?.Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?
Hata mimi hivyo hivyoNajisikia
Tumbo kuwaka moto
Kiu hasa usiku
Choo kigumu
Mdomo kuwa mchungu
Tumbo kuuma
Kujisikia kutapika/kuharisha
Kujamba kwa sauti
Inaweza kuwa ni nini daktari