Habari za kazi Dr.
Kwanza nitangulize shukrani kwa ushauri wa dawa ya miwasho. Dawa nimeipata na naitumia kwa wiki sasa na nitakupa mrejesho wa maendeleo yangu baada ya mwezi 1 kama ulivyonielekeza.
LEO NAOMBA USHAURI JUU YA TATIZO LA MIGUU CHINI YA MAGOTI KUWAKA NA KUUMA. TATIZO HILI NINALO KWA MIAKA 2 SASA NA HALI INAKUWA MBAYA SANA NINAPOKAA KWA MUDA MREFU SEHEMU MOJA HASA WAKATI NIKIWA SAFARINI AU HATA KWENYE DALADALA.
MWAKA JANA AUGUST NILIENDA HOSPITAL NIKAPEWA NEUROBIN KWA MWEZI MMOJA PAMOJA NA AINA ZINGINE, NASHUKURU NILIPATA NAFUU KIDOGO ILA SASA HALI INARUDI TENA.
NAOMBA KUJUA HILI NI TATIZO GANI NA NAWEZA KUTUMIA DAWA GANI KULITIBU?
Asante sana.[/QUO
Duu nmi nina tatizo kama lako ila mimi ni nyonga zote ila zaid upande wakushoto nimesumbuliwa na tatizo tango mwaka 2011,
tatizo lilianza mara baada ya kupewa dawa aina ya doxaxlyne kutokana na tatizo la maumivu makali ya tumbo pindi niwapo period,
dawa niliambiwa nimeze 2x2 kwa cku nilipofika cku kama ya tatu hiv nyonga ya kushoto iliuma sana hadi nikawa cwezi kujigeuza kitandani wala kutembea bila msaaadaaa
nikaacha dawa zile nikaanza kutafta tiba ya nyonga ...
nimetumia dawa nyingiii na tofauti za hosptl na kienyeji napata nafuu ya muda mfupi tu then tatizo linarud
mwaka jana mwishoni tatizo lilianza tena maumivu yakawa makali kama ya mwazn ikabd niende tena kwa dr wa mifupa. nikapigwa x-rays na kuambiwa nina shida kwenye uti wa mgongo yaan upo very straight badala ya kubend na shingo vlevle imenyooka niliana matibabu kwa kutumia dawa kadhaa kama vile; pligabline,neurobin, flux... n.k 9samahan kwa kuandika dawa kimakosa c unajua fan za watu) na mazoezi juu, dawa nilianza kutumia tarh 4/1/2017 mpaka 3/2/2017 maana nyingi ni za cku 30.
ila baada ya hapo tatizo kama bado linajirudia maana kuna muda nahic maumivu makali
msaaada wako dr plz nifanyeje au nitumie dawwa gani ili nipone kabisaa? na je naweza kupata mtoto(kushka ujauzito) kwa tatizo nililonalo